CCM ni kati ya vyama vikubwa duniani (nyuma ya India, China, Pakistan na Uturuki)

stakehigh

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
6,385
3,494
- Wanasema "NUMBERS DONT LIE": Katika list ya mwisho ya MAY 2020, wazi ikionyesha chama cha 10 duniani zenye wanachama kati ya mil 5 mpaka 50: lakini ikiwa ya 12 kwa jumla ya vyama vyote duniani


- CCM inapoendelea na sera zake nzuri za maendeleo, kujitegemea (Self reliance) pamoja na amani ya nchi tutegemee kukiona mbali zaidi katika siasa za dunia

1631171854108.png


 
Sisi ccm yetu
Ccm yetu ina jembe na nyundo
Jembe Ulaya Nyundo Ujerumani
 
Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Chama cha wakulima na wafanyakazi.
Jembe-Wakulima
Nyundo-Wafanyakazi.

Nasikitika kuona chama kimeporwa kutoka kwa wakulima na wafanyakazi sasa ni cha wabunge, wasaliti kutoka upinzani wanaotafuta teuzi na wafanyabiashara wanaokwepa kodi kwa mgongo wa chama.

UVCCM wakemee hilo.
 
Neither do results. Having high numbers should parallelly be in projection of achievements attained by such ratings.
Otherwise, those numbers will remain to be mere digits.

if thats the case then your party should and must have high numbers as a symbol of widespread and achievement, but thats not the case
 
Back
Top Bottom