Kwanini tozo za miamala zisitumike kuajiri walimu?

EKILOZO

Member
Jul 16, 2021
23
75
Uhaba wa walimu kimekuwa kilio kikubwa na hatimaye kimegeuka wimbo wa taifa unaoimbwa kila kukicha.

Juzi kwenye taarifa ya habari tumesikia mkoa wa geita ukilalamikia ukosefu wa walimu wa masomo ya sayansi. Ukienda shinyanga kilio ni hicho hicho, tabora kilio hicho hicho, ukienda kusini huko ndio usiseme kabisaa. Yaani ni kilio nchi nzima si shule za mijini si vijijini pote hali ni mbaya.

Mwenyewe ni mwalimu na kwenye shule yangu tunao wanafunzi zaidi ya mianane na walimu wa sayansi tuliopo ni wawili tu. Tunafundisha kwa rotation kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne non stop from morning to evening kwa mshahara ule ule bila hata posho ya overtime au ugumu wa kazi. Yaani briefly tunafanya kazi kama watumwa ndani ya nchi yetu.

Kuna muda hadi unakata tamaa na kutamani kuacha kazi ila ukikumbuka kuna familia nyuma inakutegemea unaamua tu kuendelea kibabe. Yote haya yanatokana na upungufu mkubwa wa walimu uliopo kwenye shule zetu lakini serikali inajifanya haioni kama kuna tatizo. Sasa kuliko kuendelea kutesana na kukosesha wanafunzi masomo, Je serikali haioni umuhimu wa kutumia tozo inazokusanya kwa wananchi kuajiri walimu wa kutosha ili kutatua uhaba mkubwa wa walimu uliopo?

Au wana member nyie mnasemaje?

Karibuni kwa mawazo
 
Zombi Mweusi

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
556
1,000
We ni mwalimu wa shule gani?wanafunzi 800 walimu wa sayansi 2 acha uongo wa thirdy law of motion
 
MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,862
2,000

Tozo ni Kwa ajili ya matumizi ya anasa ya serikali, maisha ya Kifahari ya viongozi

Hawataki kupunguza matumizi ya starehe ya serikali

MaV8

Katiba mpya ndio suluhisho
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
16,451
2,000
Uhaba wa walimu kimekuwa kilio kikubwa na hatimaye kimegeuka wimbo wa taifa unaoimbwa kila kukicha.

Juzi kwenye taarifa ya habari tumesikia mkoa wa geita ukilalamikia ukosefu wa walimu wa masomo ya sayansi. Ukienda shinyanga kilio ni hicho hicho, tabora kilio hicho hicho, ukienda kusini huko ndio usiseme kabisaa. Yaani ni kilio nchi nzima si shule za mijini si vijijini pote hali ni mbaya.

Mwenyewe ni mwalimu na kwenye shule yangu tunao wanafunzi zaidi ya mianane na walimu wa sayansi tuliopo ni wawili tu. Tunafundisha kwa rotation kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne non stop from morning to evening kwa mshahara ule ule bila hata posho ya overtime au ugumu wa kazi. Yaani briefly tunafanya kazi kama watumwa ndani ya nchi yetu.

Kuna muda hadi unakata tamaa na kutamani kuacha kazi ila ukikumbuka kuna familia nyuma inakutegemea unaamua tu kuendelea kibabe. Yote haya yanatokana na upungufu mkubwa wa walimu uliopo kwenye shule zetu lakini serikali inajifanya haioni kama kuna tatizo. Sasa kuliko kuendelea kutesana na kukosesha wanafunzi masomo, Je serikali haioni umuhimu wa kutumia tozo inazokusanya kwa wananchi kuajiri walimu wa kutosha ili kutatua uhaba mkubwa wa walimu uliopo?

Au wana member nyie mnasemaje?

Karibuni kwa mawazo

Tozo zipi wakati za uzalendo tulizipiga chini?
 
EKILOZO

Member
Jul 16, 2021
23
75
We ni mwalimu wa shule gani?wanafunzi 800 walimu wa sayansi 2 acha uongo wa thirdy law of motion
Kwa sababu ya kulinda privacy na anonymity yangu siwezi kutaja jina la shule ninayofundisha ila kama unaweza karibu mkoa wa geita utembelee shule za kata katika halmashauri za bukombe na nyang'hwale utajionea hali halisi ilivyo
 
Majulao

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
429
500
Yaani kila ajira mnataka walimu3 ina maana hii nchi haihitaji kada nyingine? Halafu nyie walimu mbona mnalia2 mno? Yaani nyie mlisoma ili
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
10,818
2,000
Ilipita miaka 6 hakuna ajira nyingi....

Mh.Hangaya Chifu Mkuu wa machifu nchini akaanza kuajiri WATUMISHI wapya zaidi ya 8000 kupitia Tamisemi+Wizara ya afya.....

Hizo ajira hazikutoka katika fedha ya TOZO.....

Mh.chifu Hangaya ataendelea KUAJIRI MWAKA UJAO WA FEDHA.......

#SiempreJMT
#SiempreChifuHangaya
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
10,818
2,000
Kwa sababu ya kulinda privacy na anonymity yangu siwezi kutaja jina la shule ninayofundisha ila kama unaweza karibu mkoa wa geita utembelee shule za kata katika halmashauri za bukombe na nyang'hwale utajionea hali halisi ilivyo
Kwani wale walimu 6000 walioajiriwa miezi miwili iliyopita hawakusambazwa vijijini?!!!

Wewe huna rafiki zako waliopata ajira za TAMISEMI?!!!
 
Weakman

JF-Expert Member
Jul 23, 2021
246
500
Uhaba wa walimu kimekuwa kilio kikubwa na hatimaye kimegeuka wimbo wa taifa unaoimbwa kila kukicha.

Juzi kwenye taarifa ya habari tumesikia mkoa wa geita ukilalamikia ukosefu wa walimu wa masomo ya sayansi. Ukienda shinyanga kilio ni hicho hicho, tabora kilio hicho hicho, ukienda kusini huko ndio usiseme kabisaa. Yaani ni kilio nchi nzima si shule za mijini si vijijini pote hali ni mbaya.

Mwenyewe ni mwalimu na kwenye shule yangu tunao wanafunzi zaidi ya mianane na walimu wa sayansi tuliopo ni wawili tu. Tunafundisha kwa rotation kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne non stop from morning to evening kwa mshahara ule ule bila hata posho ya overtime au ugumu wa kazi. Yaani briefly tunafanya kazi kama watumwa ndani ya nchi yetu.

Kuna muda hadi unakata tamaa na kutamani kuacha kazi ila ukikumbuka kuna familia nyuma inakutegemea unaamua tu kuendelea kibabe. Yote haya yanatokana na upungufu mkubwa wa walimu uliopo kwenye shule zetu lakini serikali inajifanya haioni kama kuna tatizo. Sasa kuliko kuendelea kutesana na kukosesha wanafunzi masomo, Je serikali haioni umuhimu wa kutumia tozo inazokusanya kwa wananchi kuajiri walimu wa kutosha ili kutatua uhaba mkubwa wa walimu uliopo?

Au wana member nyie mnasemaje?

Karibuni kwa mawazo
Tozo ya miamala sio chanzo Cha uhakika

Kumuajiri mtu na kumpa stahiki zake kila mwezi, yabidi uwe na chanzo Cha fedha Cha uhakika
 
EKILOZO

Member
Jul 16, 2021
23
75
Yaani kila ajira mnataka walimu3 ina maana hii nchi haihitaji kada nyingine? Halafu nyie walimu mbona mnalia2 mno? Yaani nyie mlisoma ili
Demand ya walimu ni kubwa kwakuwa wanahudumia wateja wengi kulinganisha na sekta zingine

Ualimu ndio sekta mama ya sekta zingine kwahiyo kuna uhitaji mkubwa wa walimu ili waendelee kuzalisha wasomi na watalaam mbali mbali wa kulisaidia taifa katika nyanja tofauti tofauti.

Kwa sababu kuu hizo 2 ndio maana walimu wanatakiwa waajiriwe mara kwa mara ili kukabiliana na deficit iliyopo
 
EKILOZO

Member
Jul 16, 2021
23
75
Kwani wale walimu 6000 walioajiriwa miezi miwili iliyopita hawakusambazwa vijijini?!!!

Wewe huna rafiki zako waliopata ajira za TAMISEMI?!!!
Mgao wa walimu 6000 ulizingatia zaidi shule mpya ndio walipelekewa wengine hatukuletewa mwalimu hata mmoja
 
Niwaheri

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,390
2,000
We ni mwalimu wa shule gani?wanafunzi 800 walimu wa sayansi 2 acha uongo wa thirdy law of motion
Kama haya mambo hujayaona nyamaza tu aseee nimejionea kwa macho yangu yaani zingine zina uhaba mpaka wa walimu wa kiswahili
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom