Naongea ukweli kutoka moyoni CCM mtanisamehe, Rais wetu hajui kuzungumza na raia barabarani, ni vyema ziara ya njiani zikanseliwe.
Rais hatatui changamoto unasimama njiani unaanza kuwaambia...
10 September 2021
IGP SIRRO AFUNGUKA KUHUSU UGAIDI, ATAJA ALIYOYAKUTA RWANDA "KIKOSI MAALUM, VYUONI, MADRASA"
Baada ya Inspector General of Police (IGP) Dan Munyuza wa Rwanda kukutana na IGP...
Nilikutana naye mara ya mwisho Mbezi kwa Musuguli akaniambia Wana umoja wao unaitwa soldiers without borders na tangia hapo sijawahi kumuona wala kuwasiliana naye.Mwenye taarifa zake tafadhari...
Na Thadei Ole Mushi.
Mwenezi wetu wa Chama Mstaafu ameanzisha kipindi chake Cha kufundisha watu uongozi. Kwanza sijajua ANAYEFUNDISHWA hapa ni yupi ni wale waliopo kwenye Madaraka tayari au ni...
Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaanzisha ushuru wa huduma za mitandaoni ‘Digital Service Tax’, “hili ni eneo jipya ambalo tunalifanyia kazi, katika bajeti zinazofuata...
Naam ni maelezo ya wafanyabiashara wadogo kutoka soko moja huko Mjini Arusha, Mama mmoja ameelezea tukio ilo kuwa kuna mtoza ushuru anapita kukusanya ushuru hapo sokon na wafanyabiashara...
Kumekuwepo na maswali mengi juu ya Wanadiplomasia hawa kujihusisha na Mambo ya Ndani ya Nchi na kwamba wanakiuka mkataba wa Viena waliotia saini mwaka 1961 juu ya maswala ya kuingilia shughuli za...
Kati Mashahidi wote waliotajwa na Jamhuri hakuna shahidi ambaye alishuhudia upekuzi nyumbani kwa watuhumiwa. Mara nyingi upekuzi unapofanyika viongozi wa serikali ya mtaa ushiriki na utumika...
Ni Rais Mpumbavu tu pekee duniani ndiyo hatopenda kufanya Kazi na Mtu Makini, mweledi, Mtaalam na mwana Diplomasia kama Dkt. Stergomena Tax.
Asante Rais Samia kwa Kumpa Ubunge.
Hello wana JF,
Sijui kama yaliyosemwa na Lissu kuhusu Rais wetu ni kweli? kuwa Rais wetu yupo kama kivuli wanaoishikilia nchi ni wengine.
Binafsi ningependa kushauri kama ni kweli, Structure/...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe. Mohammed Aboud Mohammed amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi
Viongozi wa Afrika kupitia AU wametoa kauli ya kutoitambua serikali ya mpito Guinea. Mimi binafsi siwaelewi .....waliofanya mapinduzi Ni watu wa Guinea waliokuwa wanapewa amri kuua na kuwasweka...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna sehemu tulikosea, tunakosea na tutaendelea kukosea. Wimbo wa Machinga kufanya biashara maeneo yasiyo rasmi kama yupo anayefikiri ni wimbo wa juzi basi ana upungufu wa...
Nauliza tu kwa sababu hapa Iringa ndio ngome kuu ya Chadema kwa sasa baada ya Mara na Mbeya kutetereka.
Nimepita baadhi ya maeneo hapa Unyaluni naona bendera za Chadema zinapepea nusu mlingoti...
Moja ya kitu kinachofanywa na mfumo wa siasa za Tanzania hasa kwa wanasiasa waliopo CCM na serikalini nikubomoa carrier zao na uzuri wao nakuwavisha maovu. Wanazuoni na wanasiasa walioonjeshwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.