Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,851
- 14,077
Naam ni maelezo ya wafanyabiashara wadogo kutoka soko moja huko Mjini Arusha, Mama mmoja ameelezea tukio ilo kuwa kuna mtoza ushuru anapita kukusanya ushuru hapo sokon na wafanyabiashara walipomwambia juu ya vitambulisho yeye aliwajibu kuwa vitambulisho vya wamachinga vimezikwa Chato.
Source:- Cloud Media.
Source:- Cloud Media.