Moja ya kitu kinachofanywa na mfumo wa siasa za Tanzania hasa kwa wanasiasa waliopo CCM na serikalini nikubomoa carrier zao na uzuri wao nakuwavisha maovu. Wanazuoni na wanasiasa walioonjeshwa...
Mfuko wa cement unauzwa 1900 na 23000 kutoka 12000-14000 mwaka 2015, hujuma
Sukari haishuki 26000
Mafuta ya kula lita tano ya Alzeti 30,000 kutoka 14000 mwaka 2015
Mafuta ya magari nayo...
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema bei ya Petrol na Diesel huko duniani inaendelea kupanda na amewataka watanzania kutoshangaa ikiendelea kupaa hapa nchini.
Mbatia amesema haya...
Tusimlaumu Raisi kwenye kila kitu. Hakuna mtu nambaye anajua mambo ya pesa, miradi na jinsi ya kuendesha serikali na gharama zake kuliko Makamu wa Raisi Philip Isdor Mpango. Lakini pamoja na ahadi...
Baada ya kuapishwa kwa Dr. Tax kuwa Mbunge ni dhahiri kuwa kutakuwa na reshuffle ya baraza la mawaziri.
Ni mawaziri gani unahisi wanahitaji kupumzishwa na Mh. Rais?
Anaanza Kuhukumiwa kwenda Jela mwana CCM Sabaya kisha anafuatia mwana CHADEMA Mbowe na Mzani unakaa sawa.
Ushauri wangu wa bure tu kwa Familia za Wahusika waanze Kujiandaa Kisaikolojia na kupeana...
Kiukweli dunia ya sasa inashangaza sana. Kuna wakati nikaa na kutafakari mambo yanayoendelea katika dunia hii hasa hapa kwetu Tanzania naumia kiukweli.
Hivi siasa unafki utakusaidia nini...
My take:
Ipo siku tutaituhumu teknolojia kwa usaliti na kutumika na mabeberu kutuchonganisha/kutuchafua..
======
Video: Serikali itagharamia matibabu ya Tundu Lissu endapo…
Emmy Mwaipopo...
Mkoa utakaotoa mshindi katika shindano la uandishi wa barua kupewa zawadi
Wiki ya Posta kuanza Octoba 4
Na Mwandishi wetu, Morogoro
SHIRIKA la Posta Tanzania (TPC) limewataka wafanyakazi wake...
Hapa ndipo penye wapiga Kura na utulivu wa nchi unapatikana ,ukilikwaza hili kundi kubwa la vijana wenye nguvu na wenye mahitaji muhimu ni kujipalia kaa la moto,vijana hawa ndio huangusha serikali...
Nyomi hii ya maandamano ya kupinga corona mjini London Uingereza. Sipuka Ndugayi waite na hawa kwenye kamati ya maadili!! Waliharibiwa pia na JPM!! Watu wanafiki wanatia kichefuchefu sana...
Afande Sirro anapingwa kila kona kwa kauli yake wakati wa kuuanga miili ya askari wake walio uliwa kibudu na Hamza. Wengi wao wanaelekea kumhurumia Hamza zaidi bila kujali kuwe yeye (Hamza) kauwa...
Kumekuwa na kelele sana juu ya anguko la bei ya mahindi kote nchini. Kiasi ambacho imebidi CCM iingilie kati. Nimewaona wabunge wote hasa wa CCM wakionyesha kutorodhishwa kwao jinsi NFRA...
Habari za kazi pia poleni na majukumu wapendwa,
Itakumbukwa katika kampeni za uchaguzi jimbo la kawe, mgombea wa Chama cha mapinduzi ambaye ndiye mbunge wa sasa wa Kawe mh Askofu Gwajima...
Nikikumbuka kauli za kifedhuli na dharau alizozitoa Mbowe dhidi ya hayati Magufuli,akijua kabisa marehemu hawezi jitetea tena ?, kiukweli ilisikitisha sana kwa waungwana wastaarabu.
Mbowe...
Baada ya Jaji Luvanda kutupa mapingamizi yote yaliyotolewa na Mawakili wanaomtetea Mbowe na wenzake, Mbowe amesimama na kumtaka Jaji Luvanda ajiondoe kuendesha kesi hiyo kwani ameonyesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.