Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mhe. Mrisho Gambo ameiomba Serikali kuwarejeshea mali na fedha zilizochukuliwa katika maduka ya kubadilisha fedha kwani “wameporwa pesa zao, magari yao, hati zao za...
Serikali imewaagiza wafanyabiashara wote wa maduka ya kubadili Fedha za kigeni walionyang'anywa vifaa vyao na kikosi kazi kilichotumika na Serikali wakati ikiifunga Biashara hiyo,waende kuchukua...
Waziri Mkuu Mstaafu mh Sumaye anasema alikwenda CHADEMA ili kuwafundisha namna ya kuendesha Serikali endapo kuna siku itatwaa madaraka.
Sumaye anasema alipogundua kwamba CHADEMA hakuna namna...
Najua hili bandiko litawakela Sana ndugu zangu wa Chadema lakini inabidi tuvumiliane tu.
Kwa jinsi chama kilivoasisiwa inaonyesha kabisa kina nguvu kubwa sana ya kimfumo kutoka kaskazini. Sasa...
YALIYOJIRI WAKATI MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI – MAELEZO NA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI, GERSON MSIGWA AKITOA TAARIFA YA WIKI KUHUSU MASUALA MBALIMBALI YA UTENDAJI WA SERIKALI LEO SEPTEMBA 12, 2021...
Leo Jumamosi 11/9/2021 lundo la viongozi na Wanachama wa Chadema kutoka Mkoani Mbeya wamefika gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam kwa kutumia usafiri wa basi kubwa la abiria (Jina linahifadhiwa...
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, Tena chai yenyewe ya maziwa.
Toyota Landcruiser number T357 DBT Imeonekana mara kwa mara ikiwa na vijana wa CCM (blak) na Salimu Mwalimu ambaye taarifa kutoka...
Rais Samia Suluhu Hassan Septemba 14 atazindua kitabu cha mkakati wa uelimishaji na uhamasishaji wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 jijini Dodoma.
Taarifa hiyo imetolewa leo Septemba 12...
Kama nchi yaweza kuwa kukwama kwetu ni matokeo ya kuendekeza ukiritimba.
Ukiritimba kila mahali. Si kwenye siasa, haki za kukusanyika, haki za kuzungumza, haki za kujumuika, kushirikishwa, kuona...
Jumamosi Septemba 11, 2021.
Katibu Mkuu Wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Daniel Chongolo leo ameungana na Viongozi wa serikali, vyama vya siasa wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam katika kuaga mwili wa...
Kama milioni 50 tu kwa kila kijiji zimemshinda, Hakika John Magufuli hana maajabu yoyote.
SGR haiwezi na Stieglers Gorge HP hawezi kukamilisha.
Akina Mubarak walikuwa na connections kila pande...
Nakumbuka jiwe lilipokamata madaraka kuliibuka huu msemo, ni wazi kuwa watu wengi walidhani jiwe anapelekeshwa na mstaafu. Kweli muda ni mwalimu mzuri kila mtu leo amejua ukweli wa jiwe, sasa...
Wakuu Chifu Hangaya anaupiga Mwingi Sana.
Ni wape Taarifa Tu Kwamba Hii Tozo Nyingine Tena Iliyopitishwa Kwa Ajili Ya Kufanya Renovation ya Hausi Yako.
Weki Iendeleee
Amesikika Mh Waziri Mkuu bungeni akimpongeza Rais Samia kwa kuongeza pesa ya kununua Mahindi ya Wakulima zilizofikia Bilioni hamsini.
Kwa kadri ya ufahamu wangu Mh Rais hakuitoa hela hii kutoka...
Siku hizi kila anaesafiri kwenda nje lazima alipie dola mia kama sikosei kwa ajili ya kipimo cha covidi ? Tokea ianze balaa hili na Tanzanaia kuitisha agizo hilo la msafiri apimwe ,Taifa...
Toka Serikali ya Awamu ya Tano ilipoanza kuwatukuza "wanyonge" kundi ambalo wamachinga wakaingizwa, ganzi iliingiwa kisawaswa katika vyombo karibia vyote vya dola.
Rsis wa wakati huo alirudia...
Mara nyingi ukiona manaibu Waziri waliokuwa wamekaa kimya wanajitokeza na kutoa press Basi nidalili za kuamsha dude wasijeonekana wamepwaya.
Unakumbuka mjadala mkubwa unaoendelea mitandaoni baada...
Unafiki unatumaliza Watanzania.
Kodi zilizokuwa zikitozwa na serikali ya Awamu ya Tano kwa wafanyabiashara na wajasiria mali, wengi waliitikia wakisema mafisadi hao au wahujumu uchumi.
Kipindi...
Hii ni kwa sababu Bunge aliloliongoza wakati wa awamu ya 5 lilikubali kutumika kuvunja Katiba ya Nchi, jambo liloleta taharuki na Manung'uniko.
Kwa mfano, Kitendo cha Spika Ndugai kuruhusu...
"Kumuita Mandela mkombozi wa Afrika ni kupotosha historia. Mandela alipigania ukombozi wa Afrika Kusini peke yake, Lakini Mwl. NYERERE alipigania ukombozi wa nchi nyingi za Afrika na bara zima"
-...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.