Jakamoyo msoga
Member
- Jul 18, 2019
- 76
- 308
Tumemwendea sana, tena In humble way, but he can't listen,
Ukimwendea kama Ulivyopanga ataanza kukuwekea visasi,
Nawasilisha
Ukimwendea kama Ulivyopanga ataanza kukuwekea visasi,
Nawasilisha
Mzee wa Malimali hukoTumemwendea sana, tena In humble way, but he can't listen,
Ukimwendea kama Ulivyopanga ataanza kukuwekea visasi,
Nawasilisha
Acha uongo mkuu, Membe safari yake iliishia kwenye tano bora, wala jina lake halikukatwa kama alivyokatwa Lwaigwan bali kura ndo zilipelea akawa out na wakabaki wagombea watatu tu sasa unaposema Membe alikuwa ni chaguo la wengi sijui umetumia kigezo kipi!POLEN SANA , MKAPA NA KIKWETE NDIO WALIOMUWEKA KWENYE KITI . JAPOKUWA CHAPUO LA WENGI LILIKUWA MEMBE .
mkuu habari za msogaTumemwendea sana, tena In humble way, but he can't listen,
Ukimwendea kama Ulivyopanga ataanza kukuwekea visasi,
Nawasilisha
Salamamkuu habari za msoga
Sasa we unaongea nn? Huko lumumba ndy kna kiwanda cha walafi ndomana kutwa mnatoana ngeu tu!Walafi wavivu mafisadi wapenda kutafuna pesa za wananchi ndio mnalalamika.. lalamikeni hadi na meno yawang'oke.. na namba bado hamjazisoma.. na moto moto hamjauona.. mnatia kichefuchefu wote na hao woteeeee
Halafu mnafikiri wananchi watawapa nchi.. oyoooo hata mkichinja walio na damu zenu.. mtagonga mwamba tu.. chaguo la Mwenyezi Mungu ni JPM
Hapa kazi tu ndio mwendo
Na bado
Magufuli oyeeeeee
Hata akiwa likizo hajiamini.. anatembea na wakuu wa vyombo vya ulinzi lika aendakoMshamba anayeogopa kurudi Dar.
Chaguo la wengi wala hakuwa Membe mkuu usitake kutudanganya sisi watu wazima! Chaguo la wengi lilikuwa Lowassa, hata Maja analifahamu hilo, hata Jennie analijua hilo! Ngoja awabatize kwa moto maana waliyataka wenyewe!POLEN SANA , MKAPA NA KIKWETE NDIO WALIOMUWEKA KWENYE KITI . JAPOKUWA CHAPUO LA WENGI LILIKUWA MEMBE .
[emoji12] [emoji12] [emoji12] hakuna nchi inayoitwa malimaliMzee wa Malimali huko
Coco nani asiye mwizi na fisadi ?! Labda wale waliotuletea kivuko cha 1978 kikageuzwa kifaru cha kijeshi [emoji23][emoji1787] ?!Walafi wavivu mafisadi wapenda kutafuna pesa za wananchi ndio mnalalamika.. lalamikeni hadi na meno yawang'oke.. na namba bado hamjazisoma.. na moto moto hamjauona.. mnatia kichefuchefu wote na hao woteeeee
Halafu mnafikiri wananchi watawapa nchi.. oyoooo hata mkichinja walio na damu zenu.. mtagonga mwamba tu.. chaguo la Mwenyezi Mungu ni JPM
Hapa kazi tu ndio mwendo
Na bado
Magufuli oyeeeeee
Hahahaaaaa[emoji12] [emoji12] [emoji12] hakuna nchi inayoitwa malimali
Kaimbe taarabu na khadija kopa. Politics is not for everyoneWalafi wavivu mafisadi wapenda kutafuna pesa za wananchi ndio mnalalamika.. lalamikeni hadi na meno yawang'oke.. na namba bado hamjazisoma.. na moto moto hamjauona.. mnatia kichefuchefu wote na hao woteeeee
Halafu mnafikiri wananchi watawapa nchi.. oyoooo hata mkichinja walio na damu zenu.. mtagonga mwamba tu.. chaguo la Mwenyezi Mungu ni JPM
Hapa kazi tu ndio mwendo
Na bado
Magufuli oyeeeeee
Labda mungu wa chatoWalafi wavivu mafisadi wapenda kutafuna pesa za wananchi ndio mnalalamika.. lalamikeni hadi na meno yawang'oke.. na namba bado hamjazisoma.. na moto moto hamjauona.. mnatia kichefuchefu wote na hao woteeeee
Halafu mnafikiri wananchi watawapa nchi.. oyoooo hata mkichinja walio na damu zenu.. mtagonga mwamba tu.. chaguo la Mwenyezi Mungu ni JPM
Hapa kazi tu ndio mwendo
Na bado
Magufuli oyeeeeee
Walafi wavivu mafisadi wapenda kutafuna pesa za wananchi ndio mnalalamika.. lalamikeni hadi na meno yawang'oke.. na namba bado hamjazisoma.. na moto moto hamjauona.. mnatia kichefuchefu wote na hao woteeeee
Halafu mnafikiri wananchi watawapa nchi.. oyoooo hata mkichinja walio na damu zenu.. mtagonga mwamba tu.. chaguo la Mwenyezi Mungu ni JPM
Hapa kazi tu ndio mwendo
Na bado
Magufuli oyeeeeee