"Kumuita Mandela mkombozi wa Afrika ni kupotosha historia. Mandela alipigania ukombozi wa Afrika Kusini peke yake, Lakini Mwl. NYERERE alipigania ukombozi wa nchi nyingi za Afrika na bara zima"
-...
Familia ya Mbowe imethibitisha kupitia ukarasa wa tweeter kwamba baba yao amechanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa. Tunaamini waliofanya haya hawataweza kumnyonga ila wanaweza kumweka...
Hivi katika picha hiyo ukiangalia kwa makini umegundua nini?
Tumia dakika hata 20 ichunguze,
Imepigwa Feri Magogoni
Nimeona stend ya kivuko cha Mv Bagamoyooooo, jamaa wewe ni intelligent sana...
ROYAL TOUR NI WAZO ZURI LAKINI...
Nimetafakari sana kabla sijaandika maneno haya. Nina wazo gumu na mkono wangu hauna uwezo wa kuandika wazo langu kwa usahihi. Huu ni ulemavu wa wengi...
Huwezi kupiga hatua ya kimaendeleo kwa kuongeza kodi (tozo). Unapoweka kodi kubwa unaua uchumi. Uchumi unapokufa huwezi kupata hiyo kodi. Shughuli za kiuchumi zinaposhuka kuna watu hawataweza...
WANACHAMA na viongozi wa chama cha Wananchi CUF Zanzibar wamemtaka kiongozi wa chama hicho Prof. IBRAHIM LIPUMBA kuwaachia chama Chao ili kukinusuru na hali mbaya inayokikabili kutokana na kile...
Wahenga wanasema kuwa pembe la ng'ombe halijifichi daima.
Ni msemo unaoweza kuwakulisha tabia ya mh Mbowe.
Pamoja na machungu anayo pambsna nayo jela lkn tazama anavo tabasamu mbele ya kadamnasi...
Teknologia ni moja ya mandeleo makubwa yalioweza kuinua mataifa mengi kiuchumi kwa kuanzisha miradi mbali mbali inayoweza kuimarisha hali ya nchi kwa mfano teknologia imetumika kuvumbua kama ndege...
Nimeshangazwa na post ya Mkuu wa Wilaya leo huko Instagram akijigamba kuwa wana mradi wa maji Kisarawe wenye thamani ya Billion 2 ambapo zaidi ya Billion 1 na Milion 700 tayari zishalipwa kwa...
Naomba Msajili wa vyama vya siasa mh Jaji Mutungi atupe taarifa rasmi kama Chadema wamegoma kuchukua ruzuku.
Pili, jaji Mutungi atujuze kama CHADEMA hawachukui ruzuku hakuna sheria yoyote...
Nianze kwa kuwasalimu wana jukwaa.
Moja kwa moja kwenye mada.
Kuna uvumi na tetesi za Mh. Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kutembelea Mkoa wa Tabora (Tabora mjini)
Yapo makatazo Mh. Rais...
Tetesi za Raisi Magufuli kutembelea Temeke zazua taharuki barabara zaanza kutengenezwa usiku na mchana nyingi zilikuwa mbovu na midimbwi kibao nimepita leo Tandika nikashangaa nikaambiwa kuna...
Kwa maana jinsi hii...
Utajiri wa jamii unaletwa na wafanyakazi, wakulima na wataalamu wafanyao kazi. Ikiwa watachukua maisha yao katika mikono yao wenyewe, na kuchukua bidii katika kuyatanzua...
Haya yamesesmwa na Mzeee wa Upako Mchungaji Antony Lusekelo ktk moja ya video clip inayoenea mitandap ya kijamii kwa kasi.
Amesema siasa za chuki, uhasama, kujilimbikizia madaraka na mali ni za...
Tangu kuletwa kwa chanjo kipaumbele ilikuwa ni kuwapa chanjo umri 50+
Ila sasa tangu wameanza kupatiwa hiyo chanjo hao 50+ kumekuwa na ongezeko la vifo vya 50+
Je, hii chanjo haisaidii?
#TAARIFA. KATIBU MKUU, ADO SHAIBU ATETA NA UONGOZI WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE MAKAO MAKUU YA CHAMA
-Katibu Mkuu wa chama, Ndugu Ado Shaibu atembelewa na uongozi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere...
Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa anawakaribisha Watanzania wote kumfuatilia kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari. Atatoa taarifa yake ya wiki hii kwenu. Tukutane saa nne kamili...
Najua leo umepewa Ushauri mzuri na mkubwa sana na Mmoja wa Vichwa Tegemezi wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku kutoka MNF na CCM yake pia.
Nami Mightier nakuomba mno John...
Muundo wa uongozi wa CHADEMA unapata nguvu kutokana na aina ya watu waliokaa juu, mfumo wao una watu wenye nguvu ya kisiasa na kiuchumi mmoja Wapo Mwenyekiti na una watu wenye akili nyingi na...
13 August 2021
Tarime, Mara
Tanzania
BOMOABOMOA YAINGIA TARIME, WAZEE NA WAJANE HATARINI
Wakaazi washangaa kwanini TARURA wanataka kubomoa nyumba ambazo zipo ktk mji wa Tarime wakati kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.