Hivi Hans Pope aliwahi kuwa mwanachama wa CHADEMA? Naona bendera nusu mlingoti baadhi ya maeneo pale Makorongoni!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,711
141,574
Nauliza tu kwa sababu hapa Iringa ndio ngome kuu ya Chadema kwa sasa baada ya Mara na Mbeya kutetereka.

Nimepita baadhi ya maeneo hapa Unyaluni naona bendera za Chadema zinapepea nusu mlingoti.

Je, Hans amewahi kutumikia hapo Ufipa?

Nawatakia Sabato yenye baraka!
 
Kwani Hans ni mwendazake?
 
Ndiyo Hans Pop alikuwa mwana Chadema
 
Nyie mnaowadharau wahehe mkiwa Iringa mjifunze kuwa wahehe wananembo zao rohoni kama marehemu mwamwindi ,Marehemu ZHP hiyo uliyoiona leo ni ishara tu kuwa wahehe ni watu wa aina Gani hawataki mchezo mchezo hawa wawili niliokutajia ni wale waliwahi kupingana na unyanyasaji na wenye mamlaka bila woga na hii ni damu ya kihehe inayowaangaliaga tumnavyonyanyasa watu bila kufanya utafiti mkawaelewa wahehe nadhani IPO siku yatarudia ya waliyofamya hawa mashujaa wa kihehe kwa utawala huu wa CCM (chama choka mbaya)
 
Back
Top Bottom