Yuko wapi captain Kadegho?

balibabambonahi

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
14,428
12,542
Nilikutana naye mara ya mwisho Mbezi kwa Musuguli akaniambia Wana umoja wao unaitwa soldiers without borders na tangia hapo sijawahi kumuona wala kuwasiliana naye.Mwenye taarifa zake tafadhari aniwekee hapa.
 
Tafadhari au tafadhali?
 
Nilikutana naye mara ya mwisho Mbezi kwa Musuguli akaniambia Wana umoja wao unaitwa soldiers without borders na tangia hapo sijawahi kumuona wala kuwasiliana naye.Mwenye taarifa zake tafadhari aniwekee hapa.
Mara ya mwisho lini...???
Hebu jaribu kuwa specific zaidi.
 
Nilikutana naye mara ya mwisho Mbezi kwa Musuguli akaniambia Wana umoja wao unaitwa soldiers without borders na tangia hapo sijawahi kumuona wala kuwasiliana naye.Mwenye taarifa zake tafadhari aniwekee hapa.
Nahisi somo la fasihi ulipata A. Huenda yuko kwenye ziara za kikazi kule Guinea.
 
Back
Top Bottom