Baada ya Dkt. Stergomena Tax kuteuliwa Ubunge leo na Rais Samia Mawaziri mliopo jiandaeni Kisaikolojia kuna Mmoja wenu anaondolewa

Tax ataenda Wizara ya Fedha na Mipango?

Madelu ataenda Wizara ya Ulinzi na JKT?
20210910_115134.jpg
 
Baraza lipya linakujaaa.


Mama SSH,Ili kurudisha walau 5% ya imani kwako tunaomba ututolee Hawa;


Mwigulu-Fedha.

Dorothy na Molle-Afya

Ummy Mwalimu-Tamisemi.

Prof.Kitila mkumbo

N.k.

Hawa wapumzike wajipange upya ama wabadilishiwe wizara
 
Utasikia siku moja naye anahutubia na kuwaambia vijana wajiajiri wasisubiri ajira za serikali
 
Back
Top Bottom