Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wazee muhimu ninamaanisha wazee wenye akili nyingi, wenye hekima na wanaoifahamu vema Tanzania. Wazee hawa ni wale wote wenye hadhi ya Mzee Ali Hassan Mwinyi, Mzee Kikwete, Mzee Warioba, Butiku...
6 Reactions
48 Replies
3K Views
Watu walioratibu na kutekeleza mashambulizi kama haya ili kuuwa wengine, wangalipo wakiwa huru na bila shaka wakilipwa kwa kodi zetu: Wanamtumikia au walikuwa wakimtumikia nani manyang'au hawa...
11 Reactions
65 Replies
6K Views
TUNDU LISSU: "hajawahi kunipigia simu, zaidi ya kwamba nilimsikia akizungumzia kushambuliwa kwangu kwenye vyombo vya habari...." TUNDU LISSU: "....alichokisema hakikuwa necessary, ni bora sana...
6 Reactions
52 Replies
5K Views
Siku 4 baada ya kijana Hamza kusababisha mauaji ya wapendwa wetu pale Selander Bridge nilikwenda Airport kuwapokea jamaa zangu kutoka Ulaya. Tukiwa kwenye gari langu kuelekea Mikocheni, njiani...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Baba wa taifa mwalimu Julius Kambalage Nyerere yeye baada ya kupata uhuru alifuta uchifu hapa Tanganyika na Zanzibar lakini leo mama anarudisa historia ya utawala wa kiasili wa babu zetu...
6 Reactions
81 Replies
5K Views
Waziri wa Tehama Dkt. Ndugulile amesema kuanzia sasa ni namba 100 pekee itatumika kwa mawasiliano ya kampuni ya simu na mteja wake. Hii ni katika lengo la kuondoa utapeli na wizi na kwa maana...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
Ninachojua aliyemtakatifu 666 haimuhusu!!! Ila 666 inamhusu yule ambaye atabaki baada ya unyakuo, na hata kama chanjo ingekuwa 666 mimi inanihusu nini kwa sasa, kwa sababu haiwezi kufanya kazi...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kiukweli Chadema wakati wanaongoza Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam na Manispaa ya Ilala ndio waliruhusu wamachinga kufanya biashara kwenye hifadhi ya barabara. Ila kiukweli Chadema...
0 Reactions
2 Replies
678 Views
Mwenyekiti wa Chaumma mzee Hashimu Rungwe amesema serikali inapaswa kupunguza matumizi yake ikiwemo aina ya magari wanayotumia badala ya kuwachaji Tozo wananchi ili waendelee kula maisha...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Dawa ya deni kulipa, katibu mkuu sio kinga ya kutowajibika kulipa deni. Mahakama ya biashara leo ime hukumu kwa kumuamuru J.J.Nyika alipe deni alilokopa Standard Chasrtered Bank na asiwalazishe...
1 Reactions
4 Replies
843 Views
Hadi leo sijawahi elewa kwanini shule za msingi na secondary zipo chini ya TAMISEMI? TAMISEMI wanao jenga vyoo vya masoko na stand za mabasi na bodaboda ndio hao wamepewa wasimamie elimu ya...
10 Reactions
37 Replies
3K Views
Mwendo wa kurudisha shughuli za makao makuu dar umeonekana mara baada ya kuaga dunia magufuli na mama samia kua rais. Swala la kuhamia dodoma limekua gumu kwa miaka zaidi ya arobaini hadi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Upande wa Jamhuri katika kesi ya Uhujumu uchumi umesema unakusudia kutumia mashahidi 24 katika kesi hiyo akiwemo mfanyakazi wa Mtandao wa Airtel na Tigo.Pia utatumia vielelezo vya nyaraka 19 na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimeliangalia pande zote gereza la Guantenamo wanakoshikiliwa walipuaji wa Marekani mnamo September 11 mwaka ule, kiukweli Ugaidi siyo mchezo. Peter Msembi wa BBC Dira ya Dunia aliyefika...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
DC MOSHI AMPONGEZA MEYA RAIBU KWA KUWAFICHUA MATAPELI WA AJIRA Na Mwandishi wetu, Kilimanjaro. Leo Mkuu wa wilaya ya Moshi Mhe Said Mtanda amempongeza Mstahiki Meya wa Moshi Mhe Juma Raibu kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninasikita sana kuona nchi yetu ikiendelea kunajisiwa na watu wachache wasio waadilifu na wenye tamaa ya mali na utajiri wa haraka na mbaya zaidi wanatumia jasho la walipakodi. Ni aibu kwa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Rais Samia, anatakiwa kutambua kuwa nje ya Serikali (TISS), kuna supper intelligence ambayo TISS haipo. Huku nje ya Serikali, kuna wataalam wa uchumi ambao kwenye Wizara ya mipango na uchumi...
12 Reactions
16 Replies
2K Views
Fimbo ya mbali haiwezi kuua nyoka hata kidogo. Lazima iwe karibu na kumfikia nyoka na kisha kumuua. Lissu yupo Brussel anakula bata kwa mrija, lakini ana malalamiko mengi juu ya mambo...
1 Reactions
53 Replies
3K Views
UHABA UJASUSI WA KIUCHUMI NA MKWAMO WA SEKTA BINAFSI. Na Yericko Nyerere Wakati nafikiria na kuamua kuandika kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi, nilikuwa nimejiridhisha vya kutosha juu ya...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Unfortunately hii Serikali inajilisha upepo , kupoteza Fedha na hela za walipa kodi kwa ajili ya kulifuta jina linaoitwa Mbowe ni kujidanganya. Hii ni sawa na mtu kuchota maji mtoni na kuyapeleka...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom