Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama umefuatilia kesi ya mbowe humu JF ,utaona wazi wafuasi nguli wa CCMccm humu jukwaani wameanza kunyukana wao kwa wao,Je hii inamaana gani? Je, Mnyukano huu huenda upo ndani hata ya NEC ya Ccm...
7 Reactions
27 Replies
3K Views
Kwa kawaida timu ya mpira huwa na wachezaji kumi na moja ndani ya uwanja, hata hivyo huruhusiwa kubadilisha mchezaji endapo watahitaji na bado timu itakuwa na idadi ileile kumi na moja kwani yule...
1 Reactions
3 Replies
806 Views
This was general election 2015...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Amesikika Samia Suluhu Hassan akisema hatuna rais mwanamke. Akiendelea kasema rais mwanamke tutamweka 2025. Amesema huyu tunayemwona sasa kaingia kwa kudra za Mola tu. Ni wazi kuwa mheshimiwa...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Kiongozi mzuri huweza kupimwa kwa mambo mengi. Unaweza kuangalia mafanikio yake, unaweza kuangalia jinsi anavyoaminiwa na watu wake, unaweza kuangalia hata jinsi anavyoweza...
17 Reactions
90 Replies
9K Views
By Mtanzania Digital | September 8, 2021 CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeiagiza Serikali kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kununua tani 100,000 za mahindi katika Mikoa ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari waungwana wa jukwaa hili la Great Thinkers? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mwaka 2015 Burundi iliingia kwenye fujo za uchaguzi baada ya aliyekiwa rais wakati huo hayati Nkurunziza...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mh. Tundu Lissu, baada ya kupewa taarifa juu ya ukandamizwaji wa haki za wasikilizaji na wafuatiliaji wa case ameandika; "Nimetaarifiwa kwamba Polisi na/au Mahakama wanazuia watu kuingia na simu...
8 Reactions
11 Replies
2K Views
Kulikuwa na mipango na kelele nyingi ya kutaka kuondoa mihula ya Urais wakati wa hayati Magufuli. Ni wazo zuri kwani mambo ya mihula ni bora zaidi kwa nchi za magharibi ambazo zimeendelea. Ktk...
10 Reactions
71 Replies
7K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo Septemba 16, 2021 imemwachia huru Mkurugenzi wa VIP na mmiliki mwenza wa zamani wa IPTL, James Rugemarila baada ya Mwendesha Mashitaka wa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Imedhihirika bila chenga kupitia kesi ya ugaidi inayowakabili Mbowe na wenzake kuwa waendesha mashtaka wa Serikali ni vilaza wa kuandaa mashtaka na kuandaa mashahidi wao. Aidha Polisi wetu...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
Ernest Sungura, Mkurugenzi Mtendaji wa Uhuru Communications aliyesimamishwa Ernest Samson Sungura ni Mkurugenzi Mtendaji wa Uhuru Communications aliyesimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa kosa...
3 Reactions
44 Replies
6K Views
Duniani kote "mmachinga" ni yule mtu anaetembeza bidhaa zake kwa kutembea nazo mikononi mwao au kwenye begi la mgongoni akitafuta waliko wanunuzi. Yaani badala ya mnunuzi kufuata bidhaa (dukani)...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nasikia tetesi za mabadiliko ya Baraza la mawaziri. Namshauri mama asimuache Kalemani, kwa muda wote ameacha Tanesco bila kukaguliwa hesabu wakati anajua Tanesco inameza zaidi ya trilioni...
14 Reactions
58 Replies
6K Views
Kassim Majaliwa , Fedha zilizochotwa hazina kwa ajili ya posho ikihisiwa hazikufuata taratibu ni ndogo sana. Ukitaka kusimamisha watumishi wengi Tafadhali rejea ripoti ya CAG , hapo tutakupigia...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
KUMKAMATA HARBINDER SINGH NA JAMES RUGEMALILA NI SAWA LAKINI HAITOSHI!!!! Na Tundu Lissu Harbinder Singh Seth na James Rugemalila walikuwa ni sehemu muhimu ya mtandao uliokwapua shilingi...
86 Reactions
369 Replies
45K Views
Jamhuri iliweka watu watu ndani zaidi ya miaka mitatu ndani bila kusikiliza kesi zao na baada ya awamu ya sita kuingia madarakani watu wale wanaondolewa Magerezani kupitia ofisi ile ile iliyokuwa...
1 Reactions
3 Replies
938 Views
KWANINI ISSUE YA ESCROW INA TISHA???? Wakati akichangia ripoti ya PAC Tundu lissue alitoa pendekezo kuwa majina ya watu waliochota pesa PAP kupitia StanBic Benk ni pamoja na Shabani Rajabu...
9 Reactions
125 Replies
44K Views
Baada ya Mama 'kutangaza' nia yake ya kuingia ulingoni 2025, ni vema chama kikuu cha upinzani kikaanza jitihada za kumtengeneza mwanamke atakayepambana na Chifu Hangaya kuwania kiti namba moja...
2 Reactions
84 Replies
10K Views
Ni Tanzania pekee ambayo watu wake ni wavivu wa kufikiri na kuwaza, nchi ambayo watu wake wanachagua kiongozi kwa sababu wamehongwa kilo moja ya chumvi halafu wamiwa hawana uhakika wa kupata hela...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom