Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jana dunia nzima ilifaidi kesi ya Mbowe na hata Jaji alisema ana taarifa kwamba proceedings za kesi hiyo zinataarifiwa mitandaoni. Tulifaidi RPC wa Kinondoni alivyhojiwa na Advocate Kibatala hadi...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Muda ni mwalimu mzuri, nani ajuae yatayofuata? Tuliwahi kusikia Zanzibar miaka ile ya Dr Gharib, halafu nn kilitokea, rais Allendale Amani Karume kukamilisha miaka 10 yake. Nani anajua atakuwepo...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Rais ametangaza rasmi kwamba wanawake watakuwa na kazi yakumpata Rais mwanamke 2025 means kwa kauli hii amewaambia chama chake kwamba mgombe atakuwa mwanamke aidha yeye au mwanamke mwingine. Hii...
7 Reactions
60 Replies
7K Views
Kuna hizi habari ambazo hazijathibitishwa kuwa huyu mhusika wa mgao wa IPTL anakaribia kuisaidia serikali kiasi cha dolla milioni 10 kipindi hiki ambacho wahisani wamezuia pesa zao kupunguza...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
‪Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Dkt. Yamungu Kayandabila kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC)‬ ‪ ‪Dkt. Naomi Katunzi...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Mmiliki wa Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL, Habinder Sethi na Mfanyabiashara James Rugemarila wameendelea kusota rumande kwa mwaka wa tatu sasa kutokana na upelelezi wa kesi yao ya utakatishaji...
3 Reactions
198 Replies
18K Views
Mwanza. Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba amesema watu wote waliohusika katika sakata la kuchukua Sh306 bilioni katika Akaunti ya Tegeta Escrow wachukuliwe...
8 Reactions
139 Replies
13K Views
Naona kwa maoni yangu tupo kwenye mkwamo kuliko kipindi chochote toka tupate Uhuru. Rais ukiingia madarakani na ukawa na makundi ya Matajiri na watu wenye maslahi yao madarakani ujue hauwezi...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Rais Samia Suluhu amewataka mawaziri na watendaji wote kuwajibika na kufanya kazi na rekodi zao zitawafata katika maisha yao. Rais amesema pamoja na macho yake kulegea, yanaona na atakuwa na jicho...
9 Reactions
53 Replies
7K Views
VIONGOZI NA WATENDAJI WA CHAMA NA SERIKALI SHUGHULIKENI NA CHANGAMOTO ZA WANANCHI Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amewaeleza viongozi na watendaji wote...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Jana kwenye taarifa ya habari tulihabarishwa kuwa Serikali ya Jamhuri ya Tanzania imepokea mkopo wa 1.3 trillioni ili kupambana na ugonjwa hatari ya Covid-19. Binafsi sisemi au sikatai mkopo huu...
1 Reactions
1 Replies
867 Views
Bado inaonekana kuna hela za kitanzania zimefichwa nje ya mfumo wa mabenki. Hiv serikali haiwezi kuamua kuprinti aina mpya noti za 10,000/= na 5,000/= ili ilazimishe watu kwenda benki kubadili...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wasalaam, Leo ilikuwa maadhimisho ya cku ya demokrasia duniani ambapo kwa hapa tanganyika mgeni rasmi alikua mh Rais wa JMT. Sasa nimesikitika na vijembe alivyokua akirusha wakati akihutubia...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Wapenzi na mashabiki wa soka, wanajua ikitokea timu imeshinda huku timu pinzani ikicheza kwa kasi na kiu ya kubadili matokeo, delaying tactic hutumiwa na timu inayofaidika na matokeo ya wakati...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
"NAMUUNGA MKONO MAMA 2025" "Ni kweli kabisa 2025 ni mwaka wa kumuweka Rais Mwanamke Ikulu, ni wakati sasa wa Wanawake wote kuungana na kutumia fursa hii kufanikisha hili na kuendelea kuandika...
1 Reactions
53 Replies
5K Views
Wakuu natumai hamjambo! Kile ambacho mwenye kiti wa CCM Taifa alikifanya Jana huku wapinzani akiwaziba midomo sio fair kabisa! Hii inatoa tafsiri mbaya Sana, dictatorship government iliyofichwa...
2 Reactions
8 Replies
737 Views
Na Ramadhani Kissimba, WFM, Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Ncgemba (Mb), amewahakikishia Wanzania kuwa Mkopo wenye masharti nafuu wa dola za Marekani milioni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mada hapo juu inaeleweka vizuri. Kuna habari zmezagaa mitandaoni kuwa Rais John Magufuli kauliwa na watu wakubwa na walianza kufanya mipango siku nyingi. Habari hizi zipo pia vijiweni. Rais...
7 Reactions
185 Replies
17K Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango, hii leo Septemba 15,2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari zenu ndugu zangu, Ndugu zanguni kama ilivyo ada mgombea wa chama nilichokitaja hapo juu ameshafahamika. Sasa hawa ni baadhi wa wapinzani ambao ikitokea wakachaguliwa na vyama vyao...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Back
Top Bottom