Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

FACTS: 1. James Rugemalira alikuwa anamiliki 30% ya IPTL kupitia kampuni yake ya VIP. Asingeziuza hizo hisa, mpaka leo angekuwa bado anamiliki 30% ya IPTL KIHALALI kabisa, hivyo kuwa mbia mwenza...
10 Reactions
303 Replies
36K Views
Kwa jinsi upepo unavyoenda wale wanyonge wa awamu ya tano changamkeni na komaeni maana mshaambiwa YATIMA HADEKI. Kalipieni umeme fasta muda si mrefu tunarudi tulikotoka. Hata ule mradi wa JHHP...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Kabla ya Mbowe kusomewa mashtaka, watu waliipa Jamhuri "benefit of doubt" kwamba huenda ina ushahidi wa maana. Watu wakahisi labda Mbowe ana uhusiano na makundi ya kigaidi kama Al Shabab, Al...
74 Reactions
173 Replies
14K Views
Ni takribani mwaka mzima sasa tangu tutangaziwe kwa mbwembwe sana mabadiliko ya mikuu wa mikoa. Miongoni mwa waliotenguliwa ni mkuu wa mkoa wa morogoro Dr Rajab Rutengwe. Rais alituambia...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kila mtanzania anamkubali Agrey Mwanri kuwa ni jembe na mchapa kazi. Anajua kuongoza, anajua kuwajibika. Lakini kwanini kiongozi kama huyu hakupata uteuzi ili aweke mambo sawa kwa manufaa ya...
3 Reactions
48 Replies
5K Views
NA GABRIEL MUSHI, WAKATI Taasisi na Idara za Serikali zikikana kuhusika na vichwa 15 vya treni vilivyoingia nchini bila mkataba wowote, RAI limebaini kuwa mmiliki halali wa vichwa hivyo ni...
4 Reactions
113 Replies
17K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally amemtaka Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema) kuacha kutoa matamshi yanayoichafua Serikali na vyombo vya usalama na...
7 Reactions
380 Replies
46K Views
Leo mh Rais amemtea aliyekuwa kada maarufu wa cuf kuwa DC wa tunduru Anachukua nafasi ya bwana juma zuberi ambaye ameteuliwa kuwa RC katavi. Hongera mh Rais Julius ni jembe,pia hongera kwake...
13 Reactions
231 Replies
34K Views
Ilifika mahali hata kuongea siasa unaangalia kushoto na kulia ndiyo uongee,tena na unayemuamini. Ilifika mahali ukiongea halafu ukataja neno Tundu Lissu badi kama pana mfanyakazi wa serikalini...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni vema tukawa kama Wakenya wagombea wa urais wajulikane mapema tupate muda wa kuwapima. Sasa tunawasubiri ACT wazalendo, NCCR mageuzi na TLP nao watutangazie wagombea wao. Inaeleweka kwa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Mwigulu lazima aachie ubunge Iramba 2020 Kazi yake ni kumpinga Rais tu, majizi yote ndio yanampinga Rais wetu mpendwa, hata hili ni jizi , tunataka mbunge ambaye anaelewa kazi ya mbunge ni nini...
7 Reactions
60 Replies
8K Views
Kwani kuna ubaya gani kukutana kama hivi na kuongea pamoja?
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Denmark itafunga ubalozi wake nchini Tanzania wakati ikibadilisha mfumo wake wa mashirikiano ili kutekeleza vipaumbele vya serikali. Nchi hiyo imesema kujipanga upya kutachangia utekelezaji wa...
8 Reactions
178 Replies
21K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora Revocatus Kuuli. Rais Magufuli ametengua uteuzi wa...
3 Reactions
66 Replies
11K Views
Haya Mambo pia alifanyiwa Raisi wa Russia Dmitry Medvedev. Aliwekwa madarakani Kama kivuli na waziri mkuu wake puten na baada ya muhula moja akatolewa. kwa haraka haraka utazani Mwendazake Kama...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimesoma nakala moja inasema "Rais Samia amekosea tena..." Amekosea kwasababu ya kusema kuwa mwaka 2025 atachukua mwanamke tena. Na nikasoma pia watu waki comment kuwa yeye ana inferiority...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni mmoja wa watu ambao huamini kwamba, mtu akichafuka mguuni sio kwamba amechafuka mwili mzima. Hivyo basi, uungwana ni kuzodoa uchafu wa mguuni lakini wakati huo huo kusifia utanashati pale...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwanza nitoe salamu zangu za heri na kongole kwa Mamady (Mahamady) Doumbouya kwa kutetea umma wa watu wa Guinea. Tuko kwenye mashindano makubwa ya chaguzi za kimapinduzi (revolutionary elections)...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimefurahishwa sana na kitendo cha Rais wetu mpendwa cha kutangaza bayana azma yake ya kukalia kiti cha urais kwa muhula mwingine. Binafsi nafikiri amefanya kitu cha msingi kwa kuwakatisha tamaa...
9 Reactions
39 Replies
4K Views
SHAKA: UUZENI PROPAGANDA ZA SERIKALI KUSITISHA MPANGO WA ELIMU BILA MALIPO Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amesema hakuna ahadi iliyotolewa kwenye ilani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom