Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ungepitia Ripoti ya CAG, wapo wengi mule wa kusimamishwa na wengi kupisha Uchunguzi

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,106
2,000
Kassim Majaliwa , Fedha zilizochotwa hazina kwa ajili ya posho ikihisiwa hazikufuata taratibu ni ndogo sana. Ukitaka kusimamisha watumishi wengi Tafadhali rejea ripoti ya CAG , hapo tutakupigia makofi ya kutosha. Hizo ni pesa za mboga tu mkuu.
 

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
3,786
2,000
wizi wote ktk idara za serikali, taasisi n.k umebainishwa ktk ripoti ya CAG kinacho takiwa na kila mtendaji ktk serikali wakiongozwa na waziri Mkuu, mawaziri kufuatilia kwa karibu mianya ya ukaribu.
 

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
35,173
2,000
Kakoko aliwahi kutuambia kwenye kikao kimoja hivi,yeye anapokea maelekezo ya Magufuli, Waziri Mkuu hana lolote analoweza kumuagiza. Toka siku hiyo nikampuuza Kassimu
 

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
29,374
2,000
Mwaga Nondo Hapa Mleta Thread
Weka Code Hapa Hapa Halafu Watu Wataunganisha Dot Kazi Itakuwa Rahisi Mno
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom