Ernest Sungura na Madudu ya gazeti la Uhuru: Kulikoni?

Mama Amon

JF-Expert Member
Mar 30, 2018
2,021
2,478
1628753626049.png

Ernest Sungura, Mkurugenzi Mtendaji wa Uhuru Communications aliyesimamishwa

Ernest Samson Sungura ni Mkurugenzi Mtendaji wa Uhuru Communications aliyesimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa kosa la gazeti la Uhuru kumlisha maneno Raois Samia. Toleo lipo hapa chini.

Sungura ni miongoni mwa watu wachache makini ambao nimewahi kuona, tangu enzi zile akiwa Mkurugenzi wa Tanzania Media Foundation (TMF).

Nijuavyo mie, Sungura asingeweza kushindwa kuona kosa hilo lililiofanywa na gazeti la uhuru. Kulitokea nini hasa?

Ni vigumu kuacha kuamini tuhuma kwamba ametumiwa na ndugu zake maarufu kama sukuma gang!

Itabidi afanye kazi kubwa kujitetea...

1628753278295.png
 
Labda alitishwa na "wenye jambo lao", ambao sio lazima wawe watu wa hayati Magufuli.
 
Hata mimi nashangaa sana huyu jamaa walimteua kuwa MD wa redio na magazeti akitokea tmf

Kuna kitu pale lumumba
 
Back
Top Bottom