Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Lema ka-tweet orodha ya vigogo wachache na mgao waliopata huku akihoji mbona hawa wameachwa? Orodha hii sidhani kama ni mpya bali nadhani ni miongoni mwa zile ziliziwahi kuzagaa mitandaoni...
2 Reactions
42 Replies
8K Views
Katika zama hizi tunapaswa kuwa makini Sana na ila za movu shetani kupitia akili za wanadamu wenye madaraka. Mahakama ya mafisadi katika kesi ya Mbowe na wenzake naona kuna Askari wamewahi ndani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katibu Mkuu Dk. Slaa amesema sakata la Escrow bado ni bichi mno. Hata yaliyoendelea yana uhusiano na mawasiliano haya;yakiwemo maswali 21 ambayo Ruge anamuuliza mkuu kuhusu Escrow. =========...
16 Reactions
175 Replies
41K Views
Kwa dhati kabisa naomba nichukue nafasi hii kwa niaba ya Chama changu kuipongeza Serikali kwa hatua hii ya kuwafikisha Mahakamani Watuhumiwa wa Sakata la Escrow kama ilivyoazimiwa na Bunge...
13 Reactions
38 Replies
5K Views
Nyanda za Juu Kusini, Mikoa ya Mbeya, Iringa, Ruvuma, Rukwa hata Katavi imenyanyapaliwa sana na Awamu ya Tano kimaendeleo. Mikoa hii ndiyo bread basket ya nchi-wazalishaji wakubwa wa chakula...
7 Reactions
95 Replies
6K Views
Nashauri mchakato wa katiba mpya uanze January 2026 (umalizike October 2028), lakini tume ya katiba mpya iundwe January 2022. Tume huru ya uchaguzi ipatikane October 2023 (miaka miwili kabla ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Manufaa ya ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami itakayo unganisha Karatu na Mwadui moja kwa moja kupitia kaskazini mwa ziwa Eyasi (via Maswa Game reserve). 1) Itaongeza utalii kanda ya ziwa na...
2 Reactions
29 Replies
8K Views
Katika kipindi cha maswali na majibu leo bungeni Mh Chaurembo amehoji kwanini tamisemi isipitie upya uamuzi wa jiji la Dar es Salaam kuvunjwa bila vikao vya madiwani. Pia amehoji mgawo wa mali za...
11 Reactions
63 Replies
9K Views
Mwl.JK.Nyerere ktk moja ya hotuba zake kuhusu Chama gani au Nani anafa kuchaguliwa kuwa kiongozi alituasa wana wa nchi ya Tanganyika kuto wachagua watu walio filisika SERA. Nyerere anasema watu...
11 Reactions
44 Replies
3K Views
mambo yamekua mazitokupita kiasi, mpaka sasa vituo vya afya vilivyopo havina watumishi wa kutosha achilia mbali zile zahanati za vijijini ambazo unakuta zina muhudumu mmoja mmoja akipata dharula...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Mwaka 1967 Serikali, kupitia Wizara ya Elimu ya Taifa ilianzisha sera ya kuwa na shule ambazo zingechukua wanafunzi wenye vipaji, waliofanya vizuri na kupata alama za juu kwenye masomo ya...
26 Reactions
195 Replies
42K Views
Nimeguatilia vikao vyote vya bunge lililomalizika juzikati sijamsikia kabisa mbunge wangu wa zamani hapa Kawe Mh Halima Mdee. Yuko wapi mbunge huyu machachari kutokea Bawacha? Jumaa kareem!
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Urais ni siku zote ni kubeba majukumu, Urais ni uwajibikaji, Urais nikutoa huduma kwa watu. Hakuna namna Urais utakosa kutupiwa lawama hata kama utafanya mazuri mengi kiasi gani. Tatizo la...
0 Reactions
1 Replies
639 Views
Habari, Kama taifa ni vyema tukaishi kwa misimamo thabiti. Ni vizuri tukaanza kuwajibishana bila kuoneana aibu ili kuleta fundisho kwa vizazi vya sasa na vile vinavyokuja. Napendekeza viongozi...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Friends and Our Enemies, Hakuna mwalimu bora wa kipind chote kama muda,muda tokea zama na zama umekuwa ni mwalim shupavu Sana ambae anaweza kutoa elimu ambayo ikaeleweka kwa kila mwenye akili...
62 Reactions
79 Replies
8K Views
Hoja hii ilianzishwa wakati JF ikiwa katika matengenezo hivyo tunairejesha kwakuwa haikurejea kikamilifu: Jana nilikuwa Shinyanga nikaona VX v8 yenye usajili NW NM (M) kuangakia kwenye gari kaka...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Siku chache kabla ya kutenguliwa kwa uteuzi wa ndugu Faustine Ndugulile na Merdad Kalemani, tulishuhudia Wizara zao zikiingia makubaliano ambapo TANESCO walikubali kutumia miundombinu yao...
12 Reactions
67 Replies
9K Views
Akihutubia wakazi wa Tinde huko Shinyanga, mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM amesisitiza wananchi kutomchagulia wagombea wa Vyama vya Upinzani hata kama wanafaa. Amedai kuwa wamchagulie...
62 Reactions
235 Replies
32K Views
Rais Samia amewaambia kusanyiko la wanawake kuwa Rais mwanamke aliyepo, yaani yeye hajapatikana kwa kuwekwa na wanawake bali kwa kudra za mwenyezi Mungu. Anasema, Uchaguzi ujao inabidi wanawake...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
FACTS: 1. James Rugemalira alikuwa anamiliki 30% ya IPTL kupitia kampuni yake ya VIP. Asingeziuza hizo hisa, mpaka leo angekuwa bado anamiliki 30% ya IPTL KIHALALI kabisa, hivyo kuwa mbia mwenza...
10 Reactions
303 Replies
36K Views
Back
Top Bottom