Utafiti wa Sauti za Wananchi, Awamu ya 27 wa Aprili 2018 umebaini 55% ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli tangu alipoingia madarakani 2015.
Kukubalika huku kumepungua kutoka 96%...
Serikali ya Tanzania yatishia kuiadhibu Twaweza kwa sababu ya utafiti wa Sauti za Wananchi
Serikali ya Tanzania imeitaka taasisi ya utafiti isiyo ya kiserikali ya Twaweza kueleza ni kwa nini...
Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutoka dola za Kimarekani 500 hadi zaidi ya 1000 katika soko la dunia.
Hii ndio sababu bei za mafuta hapa nyumbani...
Tundu Lissu kama Mtanzania mwenzetu alikuwa na haki zote kuhoji alipo Rais wa JMT. Maana ibara ya 18 (b) imebainisha wazi kuwa mtanzania yoyote anayo haki ya kikatiba, kutafuta habari, kupokea...
Wakati Fulani unajiuliza Hawa watu aina ya Huyu bwana Deus Seif ambaye ni katibu mkuu wa Chama Cha walimu Tanzania anatoa wapi Nguvu kubwa aliyonayo hata Leo hii aendelee kutesa na cheo...
WAZIRI wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima amezindua mfumo wa kidigitali wa usimamizi shirikishi katika utoaji wa huduma za afya (AfyaSS), ili kuwezesha...
Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa mchungaji Msigwa leo aliwaongoza wafuasi, wapenzi na wanachama wa chama hicho kwenye mazishi ya hayati Zakaria Hans Poppe yaliyofanyika Makanyagio manispaa ya...
Utawala wa CCM ni aibu kwa Afrika, ni aibu kwa Dunia.
Ulimwengu wa leo ambapo Dunia imestaarabika na kutambua kuwa wewe kuwa kiongozi haimaanishi umekuwa binadamu zaidi, mwerevu zaidi, mwananchi...
Siku ya Demokrasia Duniani huadhimishwa kila Septemba 15, ikitoa fursa ya kuangalia hali ya Demokrasia ulimwenguni kote. Miongoni mwa misingi muhimu ya Demokrasia ni kuheshimu #HakiZaBinadamu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia, amemteua Dkt. Abdul Rahman Mwanga kuwa Kamishna wa Madini.
Kabla ya uteuzi huu, Dkt. Mwanga alikuwa Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Madini na...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Juma Zuberi Homera amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uholanzi nchini Bwana Wieber de Boer. Mhe Homera katika mazungumzo yake amempa Balozi Boer mambo matatu...
Ninavyofahamu kwa utamaduni wa CCM Rais Samia muhula wake utakamilika 2030.
Sasa kufuatia uzushi wa kile " kigazeti" ni kama kuna watu ndani ya CCM wana mipango miovu ya kutaka kugombea nje ya...
Mjumbe Maalum wa Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini, Balozi Albino Ayurl Aboug amesema Taifa hilo linaomba kutumia Bandari ya Dar kusafirisha mizigo yake
Ameeleza hayo leo Ikulu Dar baada ya...
Wote walioteuliwa wanafahamika kwa sura na kwa tabia. Sababu za kuteuliwa kwao ndo vigumu kuzitambua. Hapa nitajaribu kuzitaja kadri ninavyowafahamu.
Tuanze na Stergomena Tax
Huyu ni mtu mwenye...
Mkuu wa Mkoa kuagiza Wakuu wa Wilaya wawaondoe wamachinga barabarani ni kuwapa mzigo wasiouweza asilani.
Hawa wamachinga walikwisha pewa jeuri na viongozi wakuu wa taifa na tumeshuhudia...
Ndugu zangu wapinzani nawaomba tuweke itikadi zetu mfukoni na tuendeshe Operesheni Ondoa CCM 2025.
Katika operesheni hii siyo mbumbumbu kuzunguka wakiwatangazia watu ondoa ccm 2025 bali ni kwetu...
Jarida la The African Intelligence liliripoti wiki iliyopita kuwa Rais mstaafu Jakaya Kikwete ndio mshauri mkuu asiye rasmi wa Rais Samia na anatumia ushawishi wake kusukuma agenda za uongozi wake...
Geita ndio mkoa unao ongoza kuwa na madini Tanzania.
Lakini pia ndio mkoa wenye Stendi mbaya sijawahi kuona.
Hiyo chini hapo ndio stendi ya mkoa wa Geita.
Wabunge wao kazi ni kugonga meza tu...
Waziri Jenister Mhagama amesema Mwenge wa Uhuru utakamilishia mbio zake katika wilaya ya Chato mkoani Geita ikiwa ni kumbukumbu ya kumuenzi hayati Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 wa JMT...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.