2025 kizazi cha utawala wa Kikwete kitaanza kupiga kura, Je kinaijua vizuri CCM

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,891
141,824
Mzee Jakaya Mrisho Kikwete alitawala kama Rais wa JMT kuanzia mwaka 2005 hadi 2015.

Kizazi cha utawala huu ambacho hujulikana kama .com kitaanza rasmi kupiga kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025.

Hiki ndio kizazi kinachofikiriwa kuleta mageuzi ya kweli ifikapo 2030 wakati huo Dr Kigwangalla, Dr Mwigullu Nchemba, January Makamba, Zitto Kabwe, Jokate Mwegelo, Nape Nnauye, Halima Mdee, Halima Bulembo, Ummy Mwalimu na kadhalika na kadhalika watakuwa wanaitwa " Babu" au "Bibi"

Kizazi hiki kisipoandaliwa vizuri kinaweza kupindua meza kwa sababu historia yao inaanzia kwa Kikwete na Magufuli na hawamjui Mkapa, Mwinyi wala Nyerere so rejea yao kuu ni hayati Magufuli na Rais wa sasa mh Samia.

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Bila Tume Huru ya Uchaguzi kupiga kura nchi hii ni sawa na bure kabisa, upige kura usipige atakayetangwazwa anajulikana.. Vijana wachache wanajaribu kutafuta haki hii wengi wao wanaishia kupewa vilema, kufa, kupotea, kuswekwa magelezani etc..

Mfumo wa kuchaguana na kusimika viongozi katika nchi hii ni wa hovyo usitake kuujua.
 
Hawawajui inamaana hawakusoma shule ,mm Nyerere sikumkuta ila namkubari sana

USSR
 
Kizazi hiki wanamjua diamond ndiyo raisi WA Tanzania...
usitegemee maajabu yeyote kutoka kwao hawa vijana wanaamini ili uweze kuishi lazima uwe CHAWA,ifikapo 2025 tegemea kundi kubwa la MASHOGA wakipigia campaign CCM
 
Boss hiki ndio kizazi siye wazee wa keyboard tunaenda kupiga picha na Ile migari yao Ile na kula na kulala kwenye Ile mijengo yao tujiandae kisakolojia tu
 
Back
Top Bottom