Mwenyekiti wa CCM kuita gazeti la chama "vigazeti" ni kosa kubwa

Gwajima

JF-Expert Member
Sep 6, 2018
253
406
Nanukuu

"Wameanza kutuchokoza, Kuandika kwenye vigazeti kuwa Samia hata gombea, nani kasema."

Hapa nadhani mwenyekiti ameteleza maana gazeti lililoandika habari hii ni gazeti la Uhuru linalomilikiwa na Chama cha Mapinduzi. Kuliita gazeti hili kigazeti ni kosa kubwa sana.

Ila kama ndiyo ameamua hivyo sawa.
 
Dharau kwa vyombo vya habari.

Ilianzia kwenye vitivii sasa hivi imekuwa vigazeti

MCT wako kimya jukwaa la wahariri liko kimya.
 
Hajateleza kasema ya moyoni!

Uteuzi wa Tax kuwa Waziri wa ULINZI ni kiashiria tosha kuwa mama anajipanga!

Bado Kuna Wizara ya Fedha, Mambo ya Ndani....!
 
Nanukuu

"Wameanza kutuchokoza, Kuandika kwenye vigazeti kuwa Samia hata gombea, nani kasema."

Hapa nadhani mwenyekiti ameteleza maana gazeti lililo andika habari hii ni gazeti la Uhuru linalo milikiwa na Chama cha Mapinduzi. Kuliita gazeti hili kigazeti ni kosa kubwa sana.

Ila kama ndiyo ameamua hivyo sawa.
Anajua kigazeti hicho kiko upande upi.
 
Nanukuu

"Wameanza kutuchokoza, Kuandika kwenye vigazeti kuwa Samia hata gombea, nani kasema."

Hapa nadhani mwenyekiti ameteleza maana gazeti lililo andika habari hii ni gazeti la Uhuru linalo milikiwa na Chama cha Mapinduzi. Kuliita gazeti hili kigazeti ni kosa kubwa sana.

Ila kama ndiyo ameamua hivyo sawa.
CCM sio wamoja! Ndani yake ni mapande na mapandikizi ... Yanadukuana na kufitinishana
 
yani wewe kwa akili zako kbs tangu asubuhi unashinda mtandaoni kushindana na Samia
, huoni kama unakimbiza upepo?
Nguvu ya mamba iko kwenye maji, lakini ngoja tuone upepo unaendaje labda wamejipanga kumuengua, time will tell !
 
Kama ulikuwa hujui tu, Mhariri mkuu wa gazeti la Uhuru ni mwenyekiti wa CCM (ambaye kwa sasa ni Rais Samia Suluhu).

Tulikuwa tunashangaa sana ilikuwaje gazeti analolimiliki na kulihariri yeye likaandika habari asiyoitaka. Sasa leo ndio tumestaajabu zaidi kusikia yeye mwenyewe (mhariri mkuu) akilidhihaki gazeti lake hadharani.
 
Sioni kosa.

Kigazeti ni gazeti dogo.

Udogo huenda kwa umri tangu kuanzishwa, idadi ya nakala zinazochapishwa na kuuzwa, upana wa uhitaji.

Kwa vyote tajwa hapo juu, hako ni kagazeti.
Hapa udogo ni uwongo wa habari
 
Back
Top Bottom