Je, Polisi Marekani itazuia maandamano ya watanzania Samia atakapohutubia huko?

Maandamano yao hayatabadili mioyo ya watanzania katika sanduku la kura. Mange Kimambi alifanya maandamano maeneo mbali mbali kule usa, lkn katika uchaguzi mkuu waandamanaji wameangukia pua. Mpaka mgombea mmoja akakimbilia ulaya ili kujinusuru na aibu ya wapiga kura wake.
 
Police ya New york isiruhusu uvunjivu wa amani
Yaani ata nchi za watu mnataka muwapeleke kina sirro wakazuie maandamano.,

Mulisema Tanzania sio kijiji mnataka kutoka nje kuimarisha hivyo lazima mukubaliane na changamoto zake maandamano Tz haiwezekani lakini kwa wenzetu yanawezekana kama vipi mama aghairishe safari ajifungie kama alivyokuwa mtu 1 ili mubaki na kijiji chenu
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom