Dismas Andrea Luhwago wa CHADEMA ajitoa kugombea Udiwani wa kata ya Luduga Wanging'ombe Njombe!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,761
Mwanachama wa Chadema kamanda Dismas Andrea Luhwago wa kata ya Luduga wilayani Wanging'ombe mkoani Njombe amejitoa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea Udiwani wa kata hiyo.

Dismas amekula kiapo mbele ya Hakimu.

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Hata Hamza ilikuja kuthibitika ni kada wa ccm.
 
Back
Top Bottom