Wizara ya Mambo ya ndani iwaangalie hawa graduate kwa jicho la upekee

Smart911

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
70,551
2,000
Usione wanachohitaji wao ni kuajiriwa tu, ila pale mtakapoajiriwa kwa level ya Diploma wakati mna Degree baadae mnakuja kusumbua kupandishwa madaraja...
 
Mwalimu wa tuisheni

JF-Expert Member
Oct 19, 2019
2,057
2,000
Najua ni njaa imekupeleka kuandika haya yote, ila ungejua mlivyowasumbufu mkipewa nafasi kisa vi degree vyenu usingethubutu, pole kwa kufika degree bila kazi
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
43,509
2,000
Kwa sasa mwenye elimu ya kidato cha 4 Ni bora kuliko elimu ya shahada kwa sababu ajira nyingi zikitoka hasa Jeshi la Polisi, Uhamiaji , Fire na Magereza huwa wanapenda kuwachukua kidato cha 4 kutokana na vigezo vilivyowekwa.

Mfano, ajira za Jeshi la Polisi kwa waliopitia JKT nafasi nyingi zaidi kwa kidato cha 4 .

Kama itawezekana ,Serikali iwaajiri vijana wenye shahada wawe hata makonsitebo sio lazima kuwa maafisa.Maana nimeona kuna kila dalili za fire , uhamiaji na migration kuchukua form 4 pekee wakati hata kijana wa graduate (shahada) anatami kuwa constable kwa mshahara uleule atakaolipwa mwenye elimu ya kidato cha NNE Wanachohitaji wao ni kuajiriwa tu.

Ikumbukwe hizi ajira ni kitambo sana hazijatoka na vijana wengi walio makambi ya jkt wanakaribia kupoteza sifa za kuajira haswa kwenye suala la Umri sababu vyombo vingi vinapenda kuchukua mwenye shahada asiezidi miaka 28 wakati mtu huyu labda alimaliza chuo akiwa na miaka 25 au 26 + kukaa labda mwaka nyumbani bila ajira then + miaka 3 ya kujitolea JKT utakuta mtu huyu ana miaka 30 .

Hali ni mbaya kwa graduate ukizingatia ajira hizi hazikutoka mda mda mrefu. Na kwa kijana mwenye elimu ya shahada aliepitia jkt na yupo mtaani au waliopo kwenye makambi ya jkt wengi wao wamemaliza kidato cha 4 chini ya mwaka 2012 na hata wakio makambini pia wengi wao mamemaliza kidato cha nne chini ya mwaka 2012.

Serikali iwaangalie hawa graduate kwani wanataka kuajira hata kwa elimu hizo za kidato cha 4 .leo hii , hakuba mtu mwenye degree anaekataa kulipwa laki 4 , 5 n.k.

Hata graduate anatamani kuwa constable.Kwa waliopitia jkt na walio makambini form 4 wataajiriwa ila graduates watabaki(kwenye magereza, uhamiaji , polisi na fire )
Naipenda nchi yangu & nawapenda viongizi was Serikali yangu.

Mungu awatie katika ujenzi wa taifa
Huwa nashindwa kuelewa huko vyuoni mlikwenda kusoma nini.

Kuna msomi wa University ambaye hana vyeti vya form four?

Omba kama form four ukipata ajira mengine utajiongeza ukiwa humo humo.
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
53,761
2,000
Inaonekana wewe ni graduate mkuu maana nyuzi zako umekomaa na graduate toka asubuhi
 
Anataka atambulike kuwa ana degree, wenzake wanaingia kazini kama madereva baadae wanaenda kufanyiwa recategorization ndani kwa ndani yeye amekomaa na degree yake
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
43,509
2,000
Najua ni njaa imekupeleka kuandika haya yote, ila ungejua mlivyowasumbufu mkipewa nafasi kisa vi degree vyenu usingethubutu, pole kwa kufika degree bila kazi
Kwenye nchi za mabeberu nilipata kumtembelea rafiki yangu mmoja pale sebuleni kwao na kwenye corridor ndipo zinakaa hizo degree kwenye fremu za picha kama urembo tu na kuonesha family certificates arwaded.

Nimeona ujerumani watoto wao wanaanza kusomea kazi tangu darasa la nne, unachaguwa kazi utakayopenda kuja kufanya unajikita hapo.

Upolisi na uwalimu haipaswi kuwa option ya wakosa ajira ndio sababu unakuta jitu lina mavyeo halijui hata PGO ni nini.
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
43,509
2,000
Inaonekana wewe ni graduate mkuu maana nyuzi zako umekomaa na graduate toka asubuhi
Mimi kama mzazi napata uchungu sana tunasomesha watoto kwa gharama kubwa halafu hawana akili.

Kwani darasa la saba siyo Graduate?
 
Memento

JF-Expert Member
Jun 13, 2021
1,978
2,000
Huwa nashindwa kuelewa huko vyuoni mlikwenda kusoma nini.

Kuna msomi wa University ambaye hana vyeti vya form four?

Omba kama form four ukipata ajira mengine utajiongeza ukiwa humo humo.
Hilo ni kosa, ukija kugundulika unaweza pata shida.
Maana kumbuka unaulizwa elimu yako unasema form four na mwisho unasaini kuwa maelezo yote niliyotoa ni sahihi na wao wanakuambia hatua Kali zitachukuliwa kwa wote waliotoa taarifa za uongo, Sasa pata picha wamekuja kujua una degree, aibu yako
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
53,761
2,000
Kwenye nchi za mabeberu nilipata kumtembelea rafiki yangu mmoja pale sebuleni kwao na kwenye corridor ndipo zinakaa hizo degree kwenye fremu za picha kama urembo tu na kuonesha family certificates arwaded.

Nimeona ujerumani watoto wao wanaanza kusomea kazi tangu darasa la nne, unachaguwa kazi utakayopenda kuja kufanya unajikita hapo.

Upolisi na uwalimu haipaswi kuwa option ya wakosa ajira ndio sababu unakuta jitu lina mavyeo halijui hata PGO ni nini.
Sure mkuu
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
53,761
2,000
Usione wanachohitaji wao ni kuajiriwa tu, ila pale mtakapoajiriwa kwa level ya Diploma wakati mna Degree baadae mnakuja kusumbua kupandishwa madaraja...
Huyu bwana anaweza kujinyonga akikosa ajira, maana amekomaa na ajira akili yake inawaza hapo tu hakuna kingine.
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
18,007
2,000
Kwa sasa mwenye elimu ya kidato cha 4 Ni bora kuliko elimu ya shahada kwa sababu ajira nyingi zikitoka hasa Jeshi la Polisi, Uhamiaji , Fire na Magereza huwa wanapenda kuwachukua kidato cha 4 kutokana na vigezo vilivyowekwa.

Mfano, ajira za Jeshi la Polisi kwa waliopitia JKT nafasi nyingi zaidi kwa kidato cha 4 .

Kama itawezekana ,Serikali iwaajiri vijana wenye shahada wawe hata makonsitebo sio lazima kuwa maafisa.Maana nimeona kuna kila dalili za fire , uhamiaji na migration kuchukua form 4 pekee wakati hata kijana wa graduate (shahada) anatami kuwa constable kwa mshahara uleule atakaolipwa mwenye elimu ya kidato cha NNE Wanachohitaji wao ni kuajiriwa tu.

Ikumbukwe hizi ajira ni kitambo sana hazijatoka na vijana wengi walio makambi ya jkt wanakaribia kupoteza sifa za kuajira haswa kwenye suala la Umri sababu vyombo vingi vinapenda kuchukua mwenye shahada asiezidi miaka 28 wakati mtu huyu labda alimaliza chuo akiwa na miaka 25 au 26 + kukaa labda mwaka nyumbani bila ajira then + miaka 3 ya kujitolea JKT utakuta mtu huyu ana miaka 30 .

Hali ni mbaya kwa graduate ukizingatia ajira hizi hazikutoka mda mda mrefu. Na kwa kijana mwenye elimu ya shahada aliepitia jkt na yupo mtaani au waliopo kwenye makambi ya jkt wengi wao wamemaliza kidato cha 4 chini ya mwaka 2012 na hata wakio makambini pia wengi wao mamemaliza kidato cha nne chini ya mwaka 2012.

Serikali iwaangalie hawa graduate kwani wanataka kuajira hata kwa elimu hizo za kidato cha 4 .leo hii , hakuba mtu mwenye degree anaekataa kulipwa laki 4 , 5 n.k.

Hata graduate anatamani kuwa constable.Kwa waliopitia jkt na walio makambini form 4 wataajiriwa ila graduates watabaki(kwenye magereza, uhamiaji , polisi na fire )
Naipenda nchi yangu & nawapenda viongizi was Serikali yangu.

Mungu awatie katika ujenzi wa taifa
Policcm wanataka mtu mwenye division 4 madhara yake tunakua na RPC asiye jua maana ya PGO ni nini.
 
Smart911

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
70,551
2,000
Huyu bwana anaweza kujinyonga akikosa ajira, maana amekomaa na ajira akili yake inawaza hapo tu hakuna kingine.
Watu wakishapata nafasi huo wanasahau kwamba walitaka kuajiriwa tu wanaanza kuja na madai mengine...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom