Kwanini Watanzania wengi wanataka IGP Sirro aondolewe? Utendaji wake haufai?

Detective Cpl

Senior Member
Jul 21, 2021
198
500
Mkuu wa jeshi la polisi ndio msimamzi mkuu wa shughuli za Jeshi hilo kwa kila namna, kuanzia utendaji, nidhamu na hata kufanya kazi kwa misingi ya haki.

Kila kona sasa hivi inaonekana wananchi hawana imani na IGP Sirro.

Je, ameshindwa kusimamia polisi kutenda haki?

Huyu mama Suzan Kaganda ndio atatenda haki?

Malalamiko kwa Sirro ni mengi juu ya kutetea uovu wa askari. Wanasiasa, wakulima na hata wananachi wa kawaida wanalalamika mitaani. Je, ni kweli hafai?
 
Mafuluto

JF-Expert Member
Aug 25, 2009
1,868
2,000
Simpendi Sirro lakini hiyo sensa ya watanzania wengi uliifanya lini na ukaifanyia wapi ukajua wengi hawampendi?

Hawa ni wale wale wapiga debe wa Kaganda.... ndo maana unaona kashachomekea wakati subject ni Sirro. .
Kama issue ni uanamke, wapo wanaofaa lkn sio Kaganda !!
 
Criterion

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
11,472
2,000
Watanzania wengi akina nani? Tabia ya kusingizia wengine kwa udanganyifu ili kusukuma ajenda yako ni dalili ya ugaidi. Ohooooo!. Shauri lako.

Ni lini ulisikia mara ya mwisho jeshi la polisi likisifiwa kwa utendaji bora? Matatizo ya jeshi hili yanatatulika katika ngazi ya IGP?
 
LUPEM

JF-Expert Member
Aug 10, 2020
412
1,000
Mkuu wa jeshi la polisi ndio msimamzi mkuu wa shughuli za Jeshi hilo kwa kila namna, kuanzia utendaji, nidhamu na hata kufanya kazi kwa misingi ya haki.

Kila kona sasa hivi inaonekana wananchi hawana imani na IGP Sirro.

Je ameshindwa kusimamia polisi kutenda haki?

Huyu mama Suzan Kaganda ndio atatenda haki?

Malalamiko kwa Sirro ni mengi juu ya kutetea uovu wa askari. Wanasiasa, wakulima na hata wananachi wa kawaida wanalalamika mitaani. Je ni kweli hafai?
Tupe andiko la chapisho lako ,ili tukubaliane na ww.No research no right to speak.Au unataka kutufanya na sisi mazombi tu kama mbowe anavyowafanya cdm.
 
Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
18,379
2,000
Watz wengi kwa utafiti upi?

Hivi kwanini chadema huwa mnatabia ya ubinafsi sana?
 
mtanzania1989

JF-Expert Member
May 20, 2010
3,828
2,000
Sirro amewaweka CDM kona kali, upumbavu wao wanaogopa kufanya kwa sababu yake, pia Mbowe kesi yake inategemea ushahidi wa Sirro na vijana wake, mnaogopa ushahidi wa Sirro?
 
Vessel

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
5,610
2,000
Mkuu wa jeshi la polisi ndio msimamzi mkuu wa shughuli za Jeshi hilo kwa kila namna, kuanzia utendaji, nidhamu na hatta kufanya kazi kwa misingi ya haki.

Kila kona sasa hivi inaonekana wananchi hawana imani na IGP Sirro.

Je ameshindwa kusimamia polisi kutenda haki?

Huyu mama Suzan Kaganda ndio atatenda haki?

Malalamiko kwa Sirro ni mengi juu ya kutetea uovu wa askari. Wanasiasa, wakulima na hata wananachi wa kawaida wanalalamika mitaani. Je ni kweli hafai?
Tupe maoni yako.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom