Kuanzia kesho kwenye kesi ya Mbowe tutarajie lolote kumtokea Boniface Jacob mahakamani au nje ya mahakama

Kisanduku

Senior Member
Jul 9, 2009
182
250
Kesi ya Mbowe inaendelea kuumbua watu na hasa jinsi tunavyopata proceedings sahihi na kwa wakati.

Tumeona jinsi maafisa polisi wanavyoumbuka kwenye maswali ya akina Kibatala na wenzake.

Hapo tusisahau kwama tuna hamu kubwa IGP Simon Siro atakapoitw kama Kibatala alivyoomba.

Hii maana yake watu watanunua bando la kutosha siku hiyo kuliko siku zote.

Kama hujui ndiyo maana polisi walifanya kila wawezalo ili watu wasiingie mahakamani na hata wakiingia wasibebe sinu zao..

Hilo likashindikana, hakuna rules zinazozuia watu kuingia na sinu zao. Ushindi.

Baada ya kesi kuanza mitandao ya CCM hawajadili kabisa kesi hii maana ni aibu.

Juzi MATAGA wameanzisha harakati za mkakati zinazosema sifa za kuripoti kedi mitandaoni zisimuendee Martin MM bali zimuendee Boniface Jacob ambaye ndiye yuko mahakamani anaandika kila kitu na kumtumia Martin MM.

Harakati hizi zikashupaliwa na Kigogi2004 na wenzake.

Sasa inawezekana ni kweli Martin hayuko mahakamani na anayeandika ni Boniface. Kimsingi hii haiisaidii sana CCM na serikali kwani kwa cha maana ni kwamba proceedings zinazotumwa twitter ni kweli na jaji hajakataza serikali imeshindwa kutaja kifungu kinachokataza.

Sasa, je serikali na polisi wataendelea kukaa wanatizama tu bila juhudi ya kuzuia proceedins zisirushwe mtandaoni?

Je atakapohojiwa IGP akaumbukiwa maswali, kweli polisi wako tayari twitter tuone aibu hiyo?

Mimi nadhani hawako tayari na watafanya lolote kuzuia. Kinachoweza kufuatia ni kufanya kituko chochote kwa Bonoface Jacob ili asiweze kuandika na kuzituma kokote.

Ama watamzuia getin au watamnynganya simu au chochote na ikibidi ajali ya gari kabla hajafika mahakamani.

Hivyo Bonoface Jacob, ex-mayor wa Ubungo, akae mkao wa tahadhari kwa lolote kukabiliana na hili.

Taarifa ile haikutumwa ili kumchonganisha na Martin MM au kumsifia bali imetumwa ili kumshughulikia kwa njia yoyote ili tukose mfululizo wa kesi kwenye mtandao.

Kila la heri Boniface na wengine
 
Vessel

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
5,593
2,000

Ila kuumbuka,kuumbuliwa wanastahili,kwani ile maana ya mwana kulitafuta mwana kulipata, inafanya kazi achilia ile ya wahenga malipo ni hapa hapa duniani.
 
PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
16,735

Yule dada sijui alivuta bangi za wapi aisee
 
PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
16,735
2,000
Wanajaribu kutafuta Nani anaweza kutoa taarifa zile Kwa usahihi!!.. Mahakamani kuna watu wengi na technology imekua kubwa sana!!..Huyu Dada alitumika!!..MM inasemekana ijumaa alikuwepo mahakamani lakini watu hawamjui!!..
Yule dada ni wa ACT WAZALENDO but why aliamua kudisclose anayeandika hizo updates.

Sidhani kama polisi hawamjui Martin kwa sababu amewahi kuwa na kesi kama mbili hivi hapo Kisutu.

Ila yule dada aliharibu sana
 
Francis fares Maro

JF-Expert Member
Jun 20, 2021
974
1,000
Yule dada ni wa ACT WAZALENDO but why aliamua kudisclose anayeandika hizo updates.

Sidhani kama polisi hawamjui Martin kwa sababu amewahi kuwa na kesi kama mbili hivi hapo Kisutu.

Ila yule dada aliharibu sana
Sio polisi wote wanaomjua MM na hata Bony pia!!..Kuna watu hawataki taarifa hizo zitoke lakini Nani anaetoa taarifa hizi Kwa wakati?!!...Bony akiwa mahakamani hayupo busy namna hii,MM nae hayuko kama anaweza kutoa taarifa Kwa haraka hivyo?!!...Swali gumu!!..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom