johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,915
- 141,870
Rais Samia wakati akiongea na viongozi wa Tamisemi amesema masoko mapya mengi hayana wafanyabiashara wa kutosha hasa yale ya ghorofa.
" Utakuta jengo la kuchukua watu 200 lina watu 30 tu na hasa yale yy ghorofa" amesema.
Rais ameshauri itafutwe shughuli mbadala kwenye majengo hayo zitakazoingizia halmashauri mapato kama kutumika kama kumbi za sherehe
Nakubaliana kabisa na wazo la mh Rais, masoko mapya mengi yapo tupu likiwemo la Mburahati na hata magomeni
Mungu ni mwema wakati wote!