Lyaka Mlima Jr
JF-Expert Member
- Mar 24, 2020
- 367
- 537
Leo nimepumzika nyumbani mara watu wanabisha hodi natoka nafungua mlango nakutana na katibu wa kata (WEO) ameongozana na watu wanne akiwepo mgambo mmoja.
Wananiambia wamekuja kutoza kodi ya jengo laki moja elfu hamsini nimeshangaa sana.
Nimemwambia aitishe mkutano wa kijiji kupitia wenyeviti wa vijiji na makatibu wa vijiji ili wananchi tupewe elimu ya tozo hizo vinginevyo tunatafutana ubaya, ameondoka anasema nitaona kitakachofuata....
Watu wengine sijui wanapata vipi teuzi hizi, yaani ni zero brain kabisa yaani mtu tayari ashaamdika risiti ya malipo bila kujua una hela au huna kwa wakati huo.