Ukosefu wa nyumba za Waalimu Igunga, Mbenge atia neno

Mpekuzi Tanzania

JF-Expert Member
Mar 11, 2018
581
894
Tazama clip/video kuhusu Nyumba ya Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Maweni, Kata ya Nguvumoja Wilaya ya Igunga.



Inadaiwa kuna ukosefu wa nyumba za Walimu katika shule ya msingi Maweni na kuwafanya walimu kutembea umbali mrefu kwenda na kurudi shuleni.
 
CCM mbele kwa mbele japo watalaumiwa wapinzani ambao hawajahi shika madaraka.

Ila Hedi ticha akomae tu mbona pako fresh ana mpaka solar.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom