Wasomi ndio wanaiongoza hii dunia, wasomi waheshimiwe

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,318
8,228
Jana kuna mtaalam mmoja wa coding amehack mitandao ya Facebook, WhatsApp, na instagram dunia nzima ilisimama, viongozi wote walisimama, wasanii wote walisimama. Mpaka wengine walitaka kupasua simu zao. Na wengine Kutaka kushika watu uchawi.

Jana hata mawaziri walikua wanahaha mitandao haishiki๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Wasomi wenyewe siyo hawa wa hapa bongo...wanywa gongo, wapenda ngono, na wenye elimu makaratasi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom