03 September 2021
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh. Othman Masoud, ofisi ya DPP lazima iwe inachunguzwa kama wenzetu huko Uingereza Ofisi ya Crown Prosecution yaani DPP huchunguzwa inavyofanya kazi
Umuhimu wa katiba Mpya upo. Kasoro za kikatiba zipo katika nyaraka za kikatiba inavyofahamika kama Tume ya Warioba. Katiba mpya iliyopendekezwa na Tume ya Warioba ilionesha wananchi waliona katiba iliyopo ina matatizo.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar anaongeza tunadhani kunaweza kuishi kwa kutumia mambo ya kizamani au kanuni za dunia iliyopita na serikali ya CCM kukataa suala la Katiba Mpya.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar azungumzia kinga ya viongozi kutoshitakiwa, viongozi wakumbuke kinga hiyo haikuzuii kushitakiwa nje. Bora kiongozi ushtakiwe halafu usamehewe badala ya kujiwekea kinga.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar atoa ushauri kuhusu upande mmoja wa Tanzania mikutano ya ndani kuzuiwa huku Zanzibar mikutano ya ndani ya vyama vya siasa Zanzibar inaruhusiwa.
Makamu wa Kwanza wa Rais Mh. Othman Masoud anakumbushia Nchi hii ina Wa(M)sajili wengi mfano msajili wa makampuni anachangia mchango mkubwa katika uchumi wa nchi kuliko msajili wa vyama vya siasa ambaye amepewa madaraka makubwa lakini hana mchango wowote kiuchumi lakini anauwezo wa kutoa kauli ikapelekea serikali ya nchi kupinduliwa kwa kusema Rais siyo mwanachama halali wa chama cha siasa . Msajili wa Vyama vya Ushirika, Msajili wa Makampuni, Msajili wa Vyama vya Siasa n.k
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar maoni yake kuhusu Mkutano wa Msajili na IGP kuhusu mikutano ya ndani ya Vyama vya kisiasa hauna afya kisiasa.
N.k
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar maoni yake ni kuwa Ma IGP waliopita kama Saidi Mwema na DCI Adadi walianzisha mageuzi ndani ya jeshi Polisi mazuri, lakini kwa sasa jeshi la Polisi limerudi nyuma katika kufanya mabadiliko yalitokuwa yameanza kwa jeshi la Polisi kujiondoa katika kutumika kisiasa.
Jeshi la Polisi linatakiwa kuelekea katika kazi za msingi yaani kupambana na uhalifu badala ya kuhangaika na vyama mikutano ya ndani ya vyama vya kisiasa.
Source : mubashara studio
Video Courtesy of StarTV Habari

Wasifu wa Mh. Othman Masoud Othman Sharif, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar
- Mwanafunzi bora Chuo Kikuu ktk mwaka wa darasa lake UDSM
- Ajiunga kazi Wizara ya katiba
- Kwenda Uingereza na Italy kwa mafunzo zaidi
- Mbobezi wa taaluma ya sheria LLB (UDSM) LLM (London) LLM (University of Turin Italy)
- Member : Network of African Constitutional Lawyers for 1 year and 9 months othman | ANCL site
- Katibu Mkuu wizara
- Mkurugezi wa Mashtaka - DPP Office, Zanzibar
- Mwanasheria Mkuu wa Serikali - AG Zanzibar
- Kutimuliwa mwaka 2014 toka utumishi wa serikalini wakati wa serikali ya Dr. Ali Mohamed Shein
- ACT-Wazalendo chama kikuu cha upinzani Zanzibar chapendekeza jina lake kwa Mh. Rais Hussein Ali Hassan Mwinyi ili ateuliwe kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar
- Ateuliwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais (mteule) Zanzibar ktk serikali ya Dr. Hussein Ali Hassan Mwinyi. Sasa mara baada ya kuapisha kesho tarehe 2 March 2021 atakuwa mshauri mkuu wa Rais wa SMZ ili Rais atimize majukumu yake kama yalivyo matumaini ya waZanzibari na WaTanzania wengi wanaotaka mfumo bora wa maridhiano kuwa msingi mkubwa ktk uongozi na utawala.
- 02 March 2021 aapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi