Wamachinga wote walioko kwenye hifadhi ya barabara, mbele ya taasisi za Umma, mbele ya maduka wapewa mwezi 1 kuondoka

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,780
141,667
RC Makalla ametoa muda wa mwezi mmoja kuanzia leo wamachinga walio katika maeneo yafuatayo kuhama:

1. Kwenye hifadhi ya barabara

2. Waliojenga vibanda juu ya mifereji ya maji machafu

3. Mbele ya maduka

4. Mbele ya taasisi za umma

5. Mbele ya shule za msingi na sekondari

Jumaa kareem!
 
Huyo ana akili timamu sio mkuu wa wilaya anayelazimisha benki kumkopesha mamilioni eti ya wamachinga wakati hajui idadi yao isitoshe hajui ataurudisha vipi mkopo..

Ataifanya serikali kuingia madeni yasiyo ya lazima na mbadala ni makodi kupanda.
 
RC Makalla ametoa muda wa mwezi mmoja kuanzia leo wamachinga walio katika maeneo yafuatayo kuhama:

1. Kwenye hifadhi ya barabara

2. Waliojenga vibanda juu ya mifereji ya maji machafu

3. Mbele ya maduka

4. Mbele ya taasisi za umma

5. Mbele ya shule za msingi na sekondari

Jumaa kareem!
Polepole tu mwishowe akili zimeanza kurejea ili kupambana na uchafuzi wa mazingira pamoja na "social inconvenience".
 
Sidhani kama itakuwa kazi nyepesi Kama anavyodhani na kuichukulia. Machinga limeshakuwa jeshi kubwa hivyo kuwaondoa kwenye maeneo yao kazi ipo.
 
Waondoke kwenda wapi?..

Miaka ya nyuma nasikia Makonda aliwatoa machinga wa Ubungo na kuwaonyesha eneo lingine la Mawasiliano pale.....
 
RC Makalla ametoa muda wa mwezi mmoja kuanzia leo wamachinga walio katika maeneo yafuatayo kuhama:

1. Kwenye hifadhi ya barabara

2. Waliojenga vibanda juu ya mifereji ya maji machafu

3. Mbele ya maduka

4. Mbele ya taasisi za umma

5. Mbele ya shule za msingi na sekondari

Jumaa kareem!
Haya maandishi yakifuatishwa kama yalivyoandikwa jiji letu Dsm litakuwa ndio jiji bora duniani
 
Nasema hivi.
makala huuwezi mziki wa machinga wewe ni mdogo sana kama pilipili.
Huwezi na hutaweza umechelewa sana tena sana
Utakachokiambulia ni migogoro ambayo haita isha.
 
Back
Top Bottom