Siioni imani ya CCM kushinda uchaguzi mkuu 2025

Fundi Madirisha

Senior Member
Jun 30, 2020
184
987
Kila nikitazama maisha yanavyozidi kua magumu, watu wanavyolia na ugumu wa maisha na hali inazidi kua mbaya kuliko siku za nyuma, siioni imani ya CCM kushinda uchaguzi 2025. Ugumu wa maisha hua ni sababu tosha kukiondoshea mapema chama ukombozi.

Mtapiga watu, wagombea kupitia vyama vya upinzani watapitia mateso makali sana, wataumia sana lakini mwisho wa siku ndogo ndio wakaoongoza taifa kwa msaada wa wananchi waliochoka. Polisi wanaweza kupiga na kuumiza watu lakini hawawezi kulifanya hilo nchi nzima.

Kazi kubwa iliyopo kwa wapinzani na wanaharakati wengine ni kuondoa makada wa CCM kule NEC na wakurugenzi kutosimamia Uchaguzi. Na hilo ni lazima kwa namna yeyote ile haliwezi kuachiwa, hii ni nchi yetu sote.
 
Hakuna awamu ambayo watu hawakulalamika maisha magumu.

Kuchagua chama kingine siyo guarantee kuwa maisha yatakuwa bora kwako.

Wakati wewe unatarajia CCM kyshindwa uchaguzi, wao tayari wanayo machinery ya kuwapa ushundi

Achana na story na illusion, rudi kwwnye uhalisia
 
Mtaanzaje kushinda kwa kutegemea internet? 😃 kitakachofanyika ni ataletwa mgombea anaye endana na mahitaji ya sasa ya wananchi

2BB6C6C6-9E98-4A9D-8456-C900EDF57BBC.jpeg
 
Hakuna awamu ambayo watu hawakulalamika maisha magumu.

Kuchagua chama kingine siyo guarantee kuwa maisha yatakuwa bora kwako...
Hii nchi CHADEMA ikishinda tutaingia kwenye umaskini wa kutisha, kwanza wataanza kula na kugawiana keki ya Taifa hadi waje washibe tutakuwa tumepigika vya kutosha,

Kuendesha nchi sio sawa na kuendesha boda boda, anayebisha tusubiri miaka mitano tuone yule mpendwa wa zambia ndio atakuwa case study
 
Ugumu upi wa maisha wewe? Lini maisha bongo yalikuwa marahisi?..acha porojo wewe.
 
Kila nikitazama maisha yanavyozidi kua magumu, watu wanavyolia na ugumu wa maisha na hali inazidi kua mbaya kuliko siku za nyuma, siioni imani ya CCM kushinda uchaguzi 2025. Ugumu wa maisha hua ni sababu tosha kukiondoshea mapema chama ukombozi.

Mtapiga watu, wagombea kupitia vyama vya upinzani watapitia mateso makali sana, wataumia sana lakini mwisho wa siku ndogo ndio wakaoongoza taifa kwa msaada wa wananchi waliochoka. Polisi wanaweza kupiga na kuumiza watu lakini hawawezi kulifanya hilo nchi nzima.

Kazi kubwa iliyopo kwa wapinzani na wanaharakati wengine ni kuondoa makada wa CCM kule NEC na wakurugenzi kutosimamia Uchaguzi. Na hilo ni lazima kwa namna yeyote ile haliwezi kuachiwa, hii ni nchi yetu sote.
Kabisa, kabisa. Ndiyo maana wanaogopa sana katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Wako radhi kupiga, kuua au kuwafunga maisha jela wanaotetea katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
 
Kw
Hii nchi CHADEMA ikishinda tutaingia kwenye umaskini wa kutisha, kwanza wataanza kula na kugawiana keki ya Taifa hadi waje washibe tutakuwa tumepigika vya kutosha,

Kuendesha nchi sio sawa na kuendesha boda boda, anayebisha tusubiri miaka mitano tuone yule mpendwa wa zambia ndio atakuwa case study
Kama SSH Kaweza, Huyu ni jembe

A1539310-7861-470D-A0C6-CA239BA632C1.jpeg
 
Kila nikitazama maisha yanavyozidi kua magumu, watu wanavyolia na ugumu wa maisha na hali inazidi kua mbaya kuliko siku za nyuma, siioni imani ya CCM kushinda uchaguzi 2025. Ugumu wa maisha hua ni sababu tosha kukiondoshea mapema chama ukombozi.

Mtapiga watu, wagombea kupitia vyama vya upinzani watapitia mateso makali sana, wataumia sana lakini mwisho wa siku ndogo ndio wakaoongoza taifa kwa msaada wa wananchi waliochoka. Polisi wanaweza kupiga na kuumiza watu lakini hawawezi kulifanya hilo nchi nzima.

Kazi kubwa iliyopo kwa wapinzani na wanaharakati wengine ni kuondoa makada wa CCM kule NEC na wakurugenzi kutosimamia Uchaguzi. Na hilo ni lazima kwa namna yeyote ile haliwezi kuachiwa, hii ni nchi yetu sote.
Kwani hapa Tanzania kuna chama chenye nguvu ya kuweza kushindana na CCM hiyo 2025?
 
Kwa tume hii, PoliCCm Na Jeshi nalo ndani, Mahakama ndani utaishindia wapi CCM. Itakuwa ndoto za mchana ndio maana chama chochote makini wanaliona hili ndio kilio cha katiba mpya unachokisia. Katiba iliyopo sasa ni ya chama kimoja hata jinsi ya kutoa madaraka kwa chama tofauti hakujaelezwa ndani ya katiba ya sasa. As far as katiba haiguswi na CCM chama dona kikilindwa na majeshi yote na mahakama hakuna chama chochote kinachoweza kushinda. CCM hoyee, vyama pinzani hawakuiona hilo wakakimbilia kuunda vyama ya siasa ndio maana wanalialia sasa hivi.
 
Back
Top Bottom