Polisi wanapata wapi madawa ya kulevya na silaha???

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Aug 8, 2021
2,203
3,008
Wakuu katika kesi ya Mbowe mshitakiwa wa kwanza Adomo aliielezea mahakama kuwa

Alimsikia afande Kingai akiwaambia Mapolisi wake kuwa wamuwekee madawa ya kulevya na siraha

Je Kama shutuma hizi ni za kweli hawa Mapolisi wanatoa wapi hizo dawa za kulevya na siraha wanazo wabambikiza watuhumiwa.

Na je Kama mahakama ikiamua kuwa ushahidi alioutoa Adomo mahakamani ndo wa kweli kwanini kina Kingai wasishitakiwe kwa kuwa na dawa za kulevya na siraha haramu.?

Karibu
 
Kingai kashapandishwa cheo na kuhamishiwa hapo Dar.
Kazi inayompa sifa ndani ya Jeshi la Polisi ni kuwatesa na kuwapa kesi CHADEMA. Alianzia Arusha sasa yupo Kinondoni anakula bata.
 
Me naogopa retaliation Kama wanaoteswa wakitoka wakaamua kulipa kisasi sijui Hali itakuwaje
 
So kwa Hamza vyombo havikuwepo,,,USA pamoja na best intelligent bado matukio ya retaliation wanashindwa kuyadhibiti
Sasa huyo Hamza yupo hai au amekufa? Hiyo retaliation hata ww unaweza kuifanya ili mradi uwe umejipanga kwa ambush. Ikiwa serikali itaogopa kuchukua hatua kwa wale wanaodaiwa kuwa ni wahalifu sababu ya kuhofia retaliation basi itakuwa haina haja ya kuwa na magereza ya wafungwa wa mauaji, madawa ya kulevya majambazi nk. Maana na wao wanaweza kufanya hayo unayosema pale tu watapokanyaga mtaani baada ya vifungo vyao.
 
Mbona unateseka bure
 
Ebu tusaidie mkuu, haya madawa ya kulevya polisi huwa wanayatoa wapi? Na kama kuna sheria inayowapa mamlaka ya kuishi nayo, je wanadhibitiwaje?

Bila ushahidi wa hayo madawa, au uthibitisho wa tuhuma zao unafikiri mi nitakujibu vipi? Hata mahakamani hukumu hutolewa baada ya ushahidi kuthibitika. Nakushauri ktk maisha kama mzazi au mtu mzima usipende kutoa hukumu kwa kusikiliza upande mmoja bila kusikiliza na upande mungine.
 
Police kina kitu wanakosa!! Kesi yoyote wakitaka kukupa hata saa hii hawashindwi... na asingekuwa Mbowe kupewa Ugaidi haya yote tusingeyafahamu kwamba kuna kitu kianaitwa PGO, kuna JWTZ wanapotezwa kinyemela na kuna baadhi ya maafisa wa jeshi la Police na wakuu wa wilaya ni kazi maalum Ikulu.
 
Wakuu katika kesi ya Mbowe mshitakiwa wa kwanza Adomo aliielezea mahakama kuwa

Alimsikia afande Kingai akiwaambia Mapolisi wake kuwa wamuwekee madawa ya kulevya na siraha

Je Kama shutuma hizi ni za kweli hawa Mapolisi wanatoa wapi hizo dawa za kulevya na siraha wanazo wabambikiza watuhumiwa.

Na je Kama mahakama ikiamua kuwa ushahidi alioutoa Adomo mahakamani ndo wa kweli kwanini kina Kingai wasishitakiwe kwa kuwa na dawa za kulevya na siraha haramu.?

Karibu
Ukisikia Polisi imeuww majambazi ujue ni uongo. Wanaweza kukua kwa sababu zao then wanakuja na siraha kwenye kamera wanasema wamekukuta nazo.
 
Sasa huyo Hamza yupo hai au amekufa? Hiyo retaliation hata ww unaweza kuifanya ili mradi uwe umejipanga kwa ambush. Ikiwa serikali itaogopa kuchukua hatua kwa wale wanaodaiwa kuwa ni wahalifu sababu ya kuhofia retaliation basi itakuwa haina haja ya kuwa na magereza ya wafungwa wa mauaji, madawa ya kulevya majambazi nk. Maana na wao wanaweza kufanya hayo unayosema pale tu watapokanyaga mtaani baada ya vifungo vyao.
Unateseka ukiwa wapi aisee.
 
Back
Top Bottom