#COVID19 Hizi chanjo za Corona zinaenda kuondoa herd immunity tuliyoipata nchini

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,172
23,975
Ninachosikitika ni kuwa hizi chanjo ambazo baadhi ya watu watazipa nchi zitaenda kuua herd immunity ambayo watanzania wengi kama sio wote nchini tulikuwa tumeipata kwa muda wa takribani miaka miwili.

Kwa wasiojua, herd immunity kwa lugha ya kawaida huitwa Kinga Kundi, hii ni aina ya kinga isiyo ya moja kwa moja (indirect immunity) dhidi ya ugonjwa inayotokea pale ambapo asilimia kubwa ya watu wana kinga dhidi ya ugonjwa husika iwe kwa njia ya maambukizo ya awali (kuugua kisha mwili ukatengeneza kinga).

Watanzania wengi sana kwa sasa korona kwao imekuwa ni kama ugonjwa wa mafua tu au uchovu kwa sababu miili yao imeishatengeneza kinga ya asili kutokana na kinga kundi(herd immunity). Wengi wanapoipata korona kwa sasa nchini wanapoteza uwezo wa kunusa na pia wanakosa hamu ya chakula na wanaharisha kidogo halafu baada ya siku kadhaa wanapona. Hii hali naamini inaenda kubadilika baada ya chanjo kuanza kutolewa nchini.

Kwa wasiojua ni kuwa kupata chanjo hakumzuii mtu aliyepata chanjo kupata korona lakini madhara yake ni kuwa, huyo aliyechanjwa halafu akapata korona, akimuambikiza mtu asiyechanjwa inakuwa ni korona hatari sana kwa aliyeambukizwa. Hii korona haikuchukui hata siku tatu unaondoka duniani kama hujawahi kupata matibabu haraka. Kibaya zaidi, hii korona inakula kidogo kidogo na inapofikia kwenye hatua za mwisho ndipo mtu unagundua pale unapokosa nguvu kwa ghafla.

Nchi nyingi za Afrika ambazo zilianza kutoa chanjo kwa wananchi wake zilijikuta ikiibuka korona nyingine kali iliyoshika kasi na watu kuanza kupoteza maisha ndio maana nchi hizo ziliamua kurudi tena kwenye lockdown.

Tusishangae baada ya hii chanjo kuanza kutolewa, namba ya watu kuanza kuugua korona au kufa itaongezeka sana nchini.

Wachunguzi wanasema chimbuko la inayoitwa kwa kiingereza VARIANTS ni matokeo ya chanjo. Hata variants zinaibuka kutokana na aina ya chanjo zinazotolewa kwa watu wa eneo hilo. Mfano Saouth Afrika iliibuka variants inayoitwa BETA baada ya wananchi kuanza kupatiwa chanjo ya Johnson and Johnson vaccine. Mpaka leo Afrika Kusini wako katika hali tete.

Kuna watu ninajua watakuja na hoja wakisema, basi ni bora tupate chanjo wote ili variants isitokee. Watakaouliza maswali haya lazima wajue kuwa hizi chanjo zinazokuja kwa nchi zetu hizi za Afrika niza wanasiasa, maofisa waandamizi wa juu serikalini, wafanyakazi wa afya, matajiri na familia zao. Kama hauko kwenye kundi hili utasubiri kupata chanjo kwa muda mrefu sana wakati VARIANT ikifanya kazi zake nchini.

Kwa mfano, Kenya pamoja na kelele zao za kujikinga na korona toka waanze kutoa chanjo wametoa kwa asilimia 1.5 ya wananchi wake wote. Ukichunguza kundi lililopata hizo chanjo ndilo nililolitaja hapo juu!

Watanzania tuko karibia milioni 60 kwa sasa ambapo Sensa ya Watu na Makazi ilisema idadi ya watu nchini ambao wako katika kundi la kufanya kazi ni 53% na pia kundi la wazee ni 6%. Hii inatuambia kuwa watu wanaotakiwa kuchanjwa nchini ni kama 60% ya watanzania kwa sababu watoto hawachanjwi.

Kwa hesabu ya kawaida pale juu, idadi ya Watanzania wanapaswa kupata chanjo ni milioni 36. Batch ya kwanza ya Johnson and Johnson vaccine iliyoingia nchini ni dozi milioni 1 kwa watu milioni 1

Population ya Dar es Salaam pekee ni watu karibia milioni 6 ambapo asilimia 60 ya wanaohitaji chanjo ni watu milioni 3 na laki 6. Hapo hujagusa mikoa mingine!

Mtu yuko kijijini eti unamsikia anasema twende tukachanje, hiyo chanjo utaipata wapi? Mpaka ikufikie ni majaliwa zaidi zaidi kama una bahati mbaya utafikiwa na mtu aliyechanjwa na kupata tena korona ambaye anakuja kueneza korona kali zaidi.

Mungu ibariki Tanzania!
 
IMG_20210728_142240.jpg
IMG_20210728_142253.jpg
 
Una talamu yoyote inayohusu mambo ya chanjo ?? Au unaongea tu kwa mihemko ,ni heri haya mambo wakaongea wanaosemea fani husika ,kuliko kuleta porojo kwenye mambo ya maana,kwan mzungu akitaka kukuua lazima ahangaike na chanjo zipo ,njia nyingi za kukuondoa tuache fikra za ukale hivi elimu tunazoma zinatusaidia nini???

sent from HUAWEI
 
Lisu alisema hawatahangaika kumtoa Mbowe, polisi wakitaka wakae nae na wamfanye watakalo!

Bawacha Leo wameandamana ubalozi wa USA kushinikiza Mbowe kuachiwa huru, ina maana wamempuuza Lisu?
Na Kigogo anapiga makofi
 
Una taaluma yoyote ya Afya au ndio ukishakuwa na bundle, smartphone na vidole, umeshajua kila kitu.

Wanataakuma wengi wa afya hawana Taarifa za sasa(Current information)
Hivyo wanajua basic tuu,
Na hata wale wanaopata taarifa za Sasa za huu ugonjwa hawawezi kupeleka Maabara taarifa na Kuzifanyia kazi! Hivyo Kubaki na Kutegemea taarifa za Nje
 
Ninachosikitika ni kuwa hizi chanjo ambazo baadhi ya watu watazipa zitaenda kuua herd immunity ambayo watanzania wengi kama sio wote nchini tulikuwa tumeipata.

Kwa wasiojua, herd immunity kwa lugha ya kawaida huitwa Kinga Kundi, hii ni aina ya kinga isiyo ya moja kwa moja (indirect immunity) dhidi ya ugonjwa inayotokea pale ambapo asilimia kubwa ya watu wana kinga dhidi ya ugonjwa husika iwe kwa njia ya maambukizo ya awali (kuugua kisha
Mtu mzima unaamua kutunga uongo ili kuwaogopesha watu dhidi ya kitu chenye kuokoa maisha. Ni roho gani hiyo?
 
Back
Top Bottom