Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hope mko poa, kesi ya Mbowe imesaidia Sana jamii katika nyanja zifatazo. - Imesaidia sana jamii kujua PGO (hata polisi wengi walikuwa hawaisomi na kuifuata) hapa Kuna ambao wamepata ufahamu wa...
16 Reactions
59 Replies
4K Views
Leo hii Tanzania imejaa bidhaa nyingi zenye ubora duni zilizotengenezwa China na ndani ya Tanzania, na kwa kiasi kidogo toka India na Thailand. Leo hii, ni rahisi sana kuikunja nondo ya 16mm...
37 Reactions
80 Replies
6K Views
I declare interest Mimi ni muumini wa Kikwete na Lowassa, Historia inaeleza kua hawa jamaa walikua marafiki wakubwa sana mpaka lilivokuja suala la Richmond inasemekana ndio lililowavuruga Lakini...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa habari hii iliyo katika tovuti ya BBC, Watanzania waliochanjwa ni asilimia 0.6 tu ya watu wote. Kujua asilimia za waliochanjwa katika nchi mbalimbali, bonyeza nchi husika kwenye...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Mawakili wa Serikali wanadai Adamoo alikamatwa kwa mujibu wa sheria na tena akatoa maelezo kwa kina Kingai kwa mujibu wa sheria na bila shinikizo. Hivyo wanaitaka mahakama kuyapokea maelezo hayo...
40 Reactions
92 Replies
14K Views
Wakuu habari za asubui!!napenda kuhoji na kupata uelewa,katika halimashauri za miji najua Kuna mfuko wa maendeleo wa vijana na kina mama kwa kupitia vikundi vya ujasiriamali,binafsi kikundi chetu...
0 Reactions
3 Replies
795 Views
Je Ugaidi anaotuhumiwa nao mh Mbowe ni ugaidi wa serikali? Najaribu kutafakari kimyakimya kwa maandishi kuhusu mashataka aliyofunguliwa mwenyekiti wa CHADEMA mh Freeman Mbowe. Nimejaribu...
8 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari wanajamvi nimekuwa kwenye sintofahamu kubwa katika nchi hii ya Tanzania kwa kuwafikiria vyama vya upinzani nini hasa hitajio lao ili tuwape nchi. Kwa mfano Kipindi cha Hayati Rais Magufuli...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Serikali iliyopo ipo hapo kwa kuwekwa tuseme kimabavu bila ya kutoana jasho, japo kuna waliopata vilema na waliouliwa ili Chama cha CCM kisimike serikali yake, ambayo ndio imejipa madaraka ya...
1 Reactions
1 Replies
831 Views
Kuna wqtu utumika kumsifia Membe kama kachero Mbobezi bila kueleza amebobea kwenye lipi? Je, nchi yetu inaweza kujivunia Membe Kama kachero au ni mtumishi wa Umma aliyeajiriwa ofisi nyeti kwa...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Taifa lenye watu wenye fikra pevu limejengwa katika utamaduni wa kuheshimu na kukubali ukosoaji wa aina yoyote ile, na si usengenyaji. Kuyaona madhaifu ya mwenzako na kumweleza yeye mwenyewe ni...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Serikali ya Tanzania imepokea msaada wa Sh196 bilioni kwa ajili ya kusaidia utekelezaji wa awamu ya Pili ya Mpango wa Elimu kwa Matokeo unaohusu elimu ya Msingi (EP4R II). Kwa mujibu wa taarifa...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Nichukue Fursa hii kumpongeza Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kusukuma mbele gurudumu la maendeleo nchini Tanzania. Yapo mambo mengi...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umesema, bado Tanzania inakabiliwa na ukiukwaji wa haki za binadamu hapa nchini hasa katika maeneo ya uhuru wa habari na vyombo vya habari...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Alipoingia bungeni kwa mara ya kwanza mwaka 2010, January Makamba alipata nafasi ya kuhudumu katika nafasi ya Mwenyekiti wa Kamati nyeti ya Nishati na Madini ikiwa ni Wiki chache tu tangu kuingia...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Kumekuwa na malalamiko kuwa mganga mkuu wa Tumbi Hospital amekuwa akitoa vitisho kwa watumishi ambao bado hawajashawishika kuchanja chanjo ya corona! Mganga mkuu huyo Dr Malima amekuwa akitishia...
4 Reactions
92 Replies
9K Views
Habari waungwana? Nimekuwa nikipita mitaani na kuongea na marafiki na jamaa zangu walioko serikalini, kwa kweli wanaumizwa sana na deni la HESLB. Sheria inatoa mwanya kuchukuliwa kwa % 15 ya...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Siasa ni mchezo mchafu sana, na wanasiasa hawaaminiki wala hawaaminiani kamwe... Kwenye siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu.. Ikumbukwe Mwaka 2015 Benard Membe alikatwa kwenye kinyang'anyiro...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Mwanadipromasia wa Kimataifa Bernard Kamillius Membe, amedai hajawahi kuhama CCM, bali ilifanyika fitini na watu wachache ambao sasa hawapo kwenye Utawala wa CCM ili asigombee urais wa 2020. Leo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu naomba sana kama kuna mtu anajua chochote kuhusu ziara ya waziri mkuu mikoa ya huko mtwara anijuze atafika lini atapita maeneo gani hasa kwa mikoa ya Lindi na mtwara nijue Kama atatumia...
0 Reactions
3 Replies
685 Views
Back
Top Bottom