CAGvsSPEAKER
JF-Expert Member
- May 16, 2019
- 1,340
- 5,048
Yupo Hoyce Temu, Mtangazaji na mjasiriamali.
Kwani ulitakaje?Hadi Hoyce Temu!
Hadi Hoyce Temu!
Yuko vizuri mkuu, usiwe na shaka atatuwakilisha vemaHadi Hoyce Temu!
Watapangiwa vituo vya kazi baadaeMbona hajasema hao mabalozi wanaenda wapi?
Namshangaa mimi huyu.Kwani ulitakaje?