Kachero Mbobezi Bernard Membe kurudi CCM leo?

KooZito

JF-Expert Member
Dec 14, 2020
396
1,377
Niko hapa Kijiji cha Mnala, Chiponda mkoani Lindi. Kuna ziara ya PM Majaliwa. Miongoni mwa wageni maarufu waliofika kumpokea mbali na Nape Nnauye ni pamoja na Membe aliyepokewa kwa heshima kubwa na wana CCM. Najiuliza je, leo anarejea chama chake cha zamani? Tusubiri dakika chache zijazo. Ova!
 
Hana sababu ya kutorudi kwa sasa....
 
Niko hapa Kijiji cha Mnala, Chiponda mkoani Lindi. Kuna ziara ya PM Majaliwa. Miongoni mwa wageni maarufu waliofika kumpokea mbali na Nape Nnauye ni pamoja na Membe aliyepokewa kwa heshima kubwa na wana CCM. Najiuliza je, leo anarejea chama chake cha zamani? Tusubiri dakika chache zijazo. Ova!
Wasalimie watu wa Ntene hapo
 
Kama Magufuli angekuwepo basi angeitwa "Ngo'mbe aliyekatwa mkia" hata kama ataingia zizini atatambulika tu kwa sababu mkia wake ni mfupi....

lakini kwa kuwa anarudi enzi hizi za JK na SSH, basi anabaki kuwa mwanachama mwandamizi aliyetumwa upinzani kupunguza nguvu
 
Niko hapa Kijiji cha Mnala, Chiponda mkoani Lindi. Kuna ziara ya PM Majaliwa. Miongoni mwa wageni maarufu waliofika kumpokea mbali na Nape Nnauye ni pamoja na Membe aliyepokewa kwa heshima kubwa na wana CCM. Najiuliza je, leo anarejea chama chake cha zamani? Tusubiri dakika chache zijazo. Ova!
Kwani aliwahi kuwa mwanachama mwingine zaidi ya cccm? au kwakuwa aiikuwa anavaa mashati ya dhambarau? zile sininguo tu?

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Niko hapa Kijiji cha Mnala, Chiponda mkoani Lindi. Kuna ziara ya PM Majaliwa. Miongoni mwa wageni maarufu waliofika kumpokea mbali na Nape Nnauye ni pamoja na Membe aliyepokewa kwa heshima kubwa na wana CCM. Najiuliza je, leo anarejea chama chake cha zamani? Tusubiri dakika chache zijazo. Ova!
unafikiri alitoka? ile ilikuwa danganya toto,alikuwa kazini kutumikia chama chake
 
Niko hapa Kijiji cha Mnala, Chiponda mkoani Lindi. Kuna ziara ya PM Majaliwa. Miongoni mwa wageni maarufu waliofika kumpokea mbali na Nape Nnauye ni pamoja na Membe aliyepokewa kwa heshima kubwa na wana CCM. Najiuliza je, leo anarejea chama chake cha zamani? Tusubiri dakika chache zijazo. Ova!
Over
 
Kazi kubwa aliyilofanya wacha huyo Mwamba arudi tu.

Jasusi mbobezi.
Niko hapa Kijiji cha Mnala, Chiponda mkoani Lindi. Kuna ziara ya PM Majaliwa. Miongoni mwa wageni maarufu waliofika kumpokea mbali na Nape Nnauye ni pamoja na Membe aliyepokewa kwa heshima kubwa na wana CCM. Najiuliza je, leo anarejea chama chake cha zamani? Tusubiri dakika chache zijazo. Ova!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom