Je, hawa ni wafuasi wa Chama cha Mapinduzi?

Je, hawa ni wafuasi wa Chama cha Mapinduzi?

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
34,775
Reaction score
46,063
Kwenu Chama cha Mapinduzi.

Kumekuwa na malalamiko mengi dhidi ya wafuasi wenu:


Pichani kama hao ni wafuasi wenu na hawafanyi hivyo kwa ridhaa zenu, hamdhani kuwa ni wakati wa ku jitafakari?

Waswahili wanasema hata mbuyu ulianza kama mchicha.
 
Inawahusu nini nyie , fanyeni yenu

USSR
 
UWONGO HII DRAMA MMEIFANYA NYINYI WENYEWE CHADEMA, MKAVAA NGUO ZA CHAMA KUU, ACHENI UTOTO NAZICHADEMA
 
kwamfano kama ni mimi hapo namkalili huyo aliekua ananipiga, yaani kwa mda wowote ntamtafuta na nitahakikisha nimemuua iwe kwa kisu panga au hata kumnyonga
Haifai kuuwa ndugu,
 
Haifai kuuwa ndugu,

Ndiyo maana:

IMG_20210901_201456_008.jpg


yalimshinda.
 
kwamfano kama ni mimi hapo namkalili huyo aliekua ananipiga, yaani kwa mda wowote ntamtafuta na nitahakikisha nimemuua iwe kwa kisu panga au hata kumnyonga

Ndiyo maana Kasongo Hamza uzalendo ulimshinda
 
Ndiyo maana Kasongo Hamza uzalendo ulimshinda
We punguza ujinga!! kasongo Hamza na Hamza was polisi ni watu wawili tofauti kabisa!! usimchafue mzee wa watu kwa ujinga wako wa kutokujua.
 
Hivi nawezaje kufungua attachment kama hii hapo juu kupitia jamii forums app?Maana kwangu hazifunguki.
 
Wao wanawasifia na kuwapa back up vijana wao wanapofanya ukatili kwa wafuasi wa upinzani!
Ipo siku kibao kitageuka na sidhani kama watu wa ccm watakuwa na uthubutu wa kukemea watakayokuwa wakifanyanyiwa vijana wao Inshallah Mungu yupo!
 
Inawahusu nini nyie , fanyeni yenu

USSR
Chadema hao wenyewe kwa wenyewe, si unaona alievaa sare za CCM amefichwa sura ili wale wanaomfahamu kuwa ni Chadema wasije kumshtukia. Jamaa wana propaganda za kitoto sana, ila uchaguzi ukifika wanaangukia pua.
 
Back
Top Bottom