Mchango wa wanyonge wanaotetewa sana hapa nchini ni upi?

JABALI LA KARNE

JF-Expert Member
Apr 19, 2021
3,093
5,816
Mnyonge anachangia Tsh ngapi kwenye fedha za Taifa ambayo huwa anatetewa nayo sana na wale wanaojiita wazalendo ambao mwenye fedha kwao ni fisadi?

Ukiachana na misaada:

Kodi imekuwa ikilipwa na wenye fedha sio wanyonge

Bandari zilijengwa na wenye fedha kupitia kodi zao sio wanyonge

Mbuga za wanyama mpaka unazikuta ni kodi za wenye fedha ndio waliozitunza wanyonge kwanza wangekimbiza wanyama wote.

Wakulima wazuri si wanyonge maana huwa na mamilioni ya fedha baada ya kuvuna.

Hawa wanyonge wanachosha. TOZO ziendelee ili wote tuijenge nchi na mnyonge akilalamika alalamike kwa uhalali.

Mtu huna mchango wa ziada kwa nchi yako ila kutwa kelele za kuita watu fisadi kutusumbua tu na hasira zako kwa wenye fedha. Yako iliyofisadiwa ni tsh ngapi?
 
Mnyonge anachangia Tsh ngapi kwenye fedha za Taifa ambayo huwa anatetewa nayo sana na wale wanaojiita wazalendo ambao mwenye fedha kwao ni fisadi?

Ukiachana na misaada:

Kodi imekuwa ikilipwa na wenye fedha sio wanyonge

Bandari zilijengwa na wenye fedha kupitia kodi zao sio wanyonge

Mbuga za wanyama mpaka unazikuta ni kodi za wenye fedha ndio waliozitunza wanyonge kwanza wangekimbiza wanyama wote.

Wakulima wazuri si wanyonge maana huwa na mamilioni ya fedha baada ya kuvuna

Anza kwanza wewe inachangia bei gani kwa taifa

USSR
 
Kusema wanyonge wanamaanishwa tunyongwe kodi kila sehemu ni kauli ya kinafki tu wanamanisha tunyongwe
 
Mnyonge anachangia Tsh ngapi kwenye fedha za Taifa ambayo huwa anatetewa nayo sana na wale wanaojiita wazalendo ambao mwenye fedha kwao ni fisadi?

Ukiachana na misaada:

Kodi imekuwa ikilipwa na wenye fedha sio wanyonge

Bandari zilijengwa na wenye fedha kupitia kodi zao sio wanyonge

Mbuga za wanyama mpaka unazikuta ni kodi za wenye fedha ndio waliozitunza wanyonge kwanza wangekimbiza wanyama wote.

Wakulima wazuri si wanyonge maana huwa na mamilioni ya fedha baada ya kuvuna

Hawa wanyonge wanachosha. TOZO ziendelee ili wote tuijenge nchi na mnyonge akilalamika alalamike kwa uhalali.

Mtu huna mchango wa ziada kwa nchi yako ila kutwa kelele za kuita watu fisadi kutusumbua tu na hasira zako kwa wenye fedha. Yako iliyofisadiwa ni tsh ngapi?
Andaa pawa bank kabisa, Kuna m1 kanipta apa Yuko 120⛷️
 
Ni ujinga mtupu watu kuitwa wanyonge kwenye dunia hii ya kikapitalisti...na wanyonge hao kudhani wana hati miliki ya nchi kuliko wengine.
Sasa kuna kundi la watetezi wao neno wanyonge haliwatoki mdomoni.
 
Back
Top Bottom