johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,961
- 141,957
Kesi ya mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe ni ya kawaida tu kama zilivyo kesi nyingine na yeye siyo kiongozi wa kwanza wa upinzani kukumbwa na kesi.
Wapo akina Mtikila na yule aliyesigina katiba pale jangwani na wengine wengi tu waliowahi kushtakiwa na Jamhuri na mahakama ikawatendea haki.
Uteuzi wa Jaji Kiongizi Mustapha Siyani ni wa kawaida kabisa na ni vema tukamwacha atimize majukumu yake mapya huku akikamilisha kusikiliza kesi hiyo ya ugaidi ambayo mwelekeo wake umeshaonekana baada ya ushahidi wa lile shauri dogo katika kesi ya msingi.
Ni vema Chadema mkapunguza ulalamishi maana hata mkipewa Biswalo awasikilize bado mtalia lia tu.
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!