Asante Rais Samia kwa kumteua Sofia Mjema kuwa RC mpya wa Shinyanga

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Ni Dada ( Mama ) ambaye kuanzia ndani ya Chama Tawala (CCM) alikuwa amepikwa vyema ila alipokuwa DC wa Ilala kila alipotakiwa Kupandishwa kuwa Mkiu wa Mkoa kuna Mtu Mmoja (sasa amenyamaza sana) japo huko nyuma alikuwa ndiyo kila Kitu Tanzania alikuwa akimfitinisha kwa Baba yake wa Hiari na Kiukabila.

Haya sasa Dada yangu RC mpya Shinyanga Sofia Mjema nenda kafanye Kazi, usituangushe tuliokuwa tukikupenda, tukikuthamini na kukuombea Mafanikio zaidi ya Kiutendaji ndani ya Serikali.

Natamani sana hata ikifika 2025 pale Rais Samia Suluhu Hassan akigombea Urais na Kupita basi ikimpendeza akuteue katika Ubunge na akupe Uwaziri kwani una Uwezo mkubwa tu wa Kiutawala na Kiongozi kuliko Watu wengi wanavyokudhania au kuchukulia.

Kila Ia Kheri mno Dada huko Shinyanga.
 
Back
Top Bottom