MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kesho tarehe 18 Septemba, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea New York nchini Marekani kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambapo tarehe 23 anatarajiwa kulihutubia Baraza hilo.
Chanzo: itvtz
Kuna Watu Kumbukumbu yangu inaniambia kama ni Kusafiri sana bali ilikuwa ni Afrika Kusini na Zimbabwe ila Kwingineko (Overseas) watakusikia tu kwa hawa Wenzao wa sasa.
Na kinachouma na mpaka kufanya Mightier niwaonee Huruma Walinzi fulani ni kwamba walikuwa Wakiwadharau mno hawa wa sasa wanaoenda Marekani huku wakisahau kuwa Siku zote aijuae Kesho ni Mwenyezi Mungu pekee.
Kuna Watu Wanne wa Makumbusho najua hivi sasa kwa hili Bata wanaloenda Kula Wenzao ( waliokuwa wakiwadharau ) walipokuwa na Mwamba Sura zao zitakuwa zimenuna mno na Misonyo Kutawala tu mahala walipo kwani asikuambie Mtu New York siyo sawa na Johannesburg ( Gauteng ) au Harare au Dodoma au Tandahimba au Karagwe.
Tuacheni Dharau tukiwa katika Nafasi.