Kama hutaki Katiba Mpya, wote mliokuwa mwenye Bunge la Katiba rudisheni pesa mlizolipana kama posho

nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Jan 16, 2020
2,946
2,929
Hapo sikuwagusa CCM kwakuwa katiba mpya siyo yao peke yao, ni ya watanzania wote walipa kodi.

Nimesikia tetesi kuhusu mipango ya kuokoa pesa zilizotumika uwanja wa Chato maana baada ya kifo cha Magufuli kumebaki ukiwa.

Sasa sukuma gang wanampango wa kuona mipango iliyopangwa kuhusu Chato na uwanja wa ndege vinaendelezwa.

MY TAKE
Mpango huu siyo mbaya kama Upo ila kama ni Upo kutekelezwa,basi serikali iokoe pesa zetu zilizogawanwa kwa kulipana posho ya binge la katiba.

Na hii itatudhihilishia Mama yetu una mpango wa kurekebisha uchumi nasi tutakuunga mkono.

Lakini kutuambia unarekebisha uchumi wakati pesa zetu mmekula wewe ukiwa naibu spika wa bunge hilo.
1. Unatia hasira
2. Tutakuchukia

SISI TUNAAMINI RASIMU YA KATIBA MPYA YA WARIOBA INASURUHISHO LA,
1.Uchumi maana pesa zetu zitalindwa kwayo ili ccm wasizikwapue.
2. Kero za muungano zitaisha.
3.uchumi wetu utakua kwa haraka
Mihimili ya umma itajitegemea
4. Polisi watakuwa na heshima
5. Viongozi watapatikana kwa mujibu wa sheria na siyo kuteuana tu.
5. Tume ya uchaguzi itakuwa huru.
6. Uhuru wa kutoa maoni,kujieleza na kukusanyika kisheria

7. Demokrasia itakayofuata misingi ya sheria.
 
Hapo sikuwagusa ccm kwakuwa katiba mpya siyo yao peke yao,ni ya watanzania wote walipa kodi.

Nimesikia tetesi kuhusu mipango ya kuokoa pesa zilizotumika uwanja was chato,maana baada ya kifo cha magufuli kumebaki ukiwa.

Sasa sukuma gang wanampango wa kuonana mipango iliyopangwa kuhusu chato na uwanja wa ndege vinaendelezwa.

MY TAKE

Mpango huu siyo mbaya kama Upo ila kama ni Upo kutekelezwa,basi serikali iokoe pesa zetu zilizogawanwa kwa kulipana posho ya binge la katiba.

Na hii itatudhihilishia Mama yetu una mpango wa kurekebisha uchumi nasi tutakuunga mkono.

Lakini kutuambia unarekebisha uchumi wakati pesa zetu mmekula wewe ukiwa naibu spika wa bunge hilo.
1. Unatia hasira
2. Tutakuchukia

SISI TUNAAMINI RASIMU YA KATIBA MPYA YA WARIOBA INASURUHISHO LA,
1.Uchumi maana pesa zetu zitalindwa kwayo ili ccm wasizikwapue.

2. Kero za muungano zitaisha.
3.uchumi wetu utakua kwa haraka
Mihimili ya umma itajitegemea
4. Polisi watakuwa na heshima
5. Viongozi watapatikana kwa mujibu wa sheria na siyo kuteuana tu.
5. Tume ya uchaguzi itakuwa huru.
6. Uhuru wa kutoa maoni,kujieleza na kukusanyika kisheria

7. Demokrasia itakayofuata misingi ya sheria.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app

Huyu bibi:

IMG_20210829_163746_049.jpg

hasikii kwa miito.
 
Back
Top Bottom