Ukweli NI kuwa hukumu na kesi ya sabaya ilivyoendeshwa inaonesha uhalisia wa utolewaji haki Tanzania.
Ila hukumu ya sabaya inamaana kubwa Sana kwenye kesi ya Mbowe. NI taa nyekundu kwake...
Nashangaa sana watanzania tumekuwa watu wa kulaumu sana. Mara kila kiongozi anapoingia madarakani tunambambika majina ya kumpa udikteta, utasikia dhalimu, muuuaji mtekaji, na hata Dikteta uchwara...
Mfungwa wa kifungo cha miaka 30 kwa unyang’anyi wa kutumia silaha, Lengai Ole Sabaya na wenzake 6, kesho 18/10/2021, watarejea tena Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kusikiliza kesi nyingine ya...
Wabunge wengine wameingia bungeni kwa upepo au kwa kushtukiza na kwenye majimbo yao wamelala usingizi wanasubiri kupitishwa tena kurudi Dodoma bila jasho;-
1. Dkt. Kalemani
2. Msukuma
3. Prof...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Hospitali zote zinakabiliwa na uhaba wa Watumishi, akifafanua "Hii ni kutokana na kiwango cha ukuaji wa Uchumi"
Amesema hayo leo akiwa Moshi Mkoani Kilimanjaro...
Na Deodatus Balile
Imenichukua muda kuandika makala hii. Ninafahamu kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, anashitakiwa kwa tuhuma za kufadhili ugaidi kwa...
Niliwahi kuleta uzi wangu hapa kuhusu hili suala mwezi August, kwenye stories of change kwa lengo la kutoa ushauri kwa serikali wa namna bora ya kukabiliana na hili suala...
Unamlipisha 20,000 ya kitambulisho cha Mmachinga kuonyesha kuwa yuko eneo hilo kihalali then Leo mnakuja kuwabomolea?
Si muwarudishie basi Hizo 20,000 zao kabla ya kuwanyanyasa? Mliwakubalia tena...
Habari.
Kwa wanaoshangaa wazo la waziri wa fedha Dr Mwigulu Nchemba la kuja na tozo kwenye miamala ya simu ili aweze kupata fedha za kukamilisha miradi ya kimaendeleo wanaombwa kusoma gazeti la...
Natoa tu angalizo kwa wale wanaodhani eti Freeman Mbowe atafungwa ili kubalance equation kati yake na Ole sabaya.
Niwakumbushe tu kuwa hizi ni kesi mbili tofauti kabisa na hata hadhi za...
Mnajua ndugu zangu wanaccm na msiokua wanaccm kuna mambo tusipoyasema ipo siku uhalisia utatuumbua, sioni haja ya kuficha nikiwa kama mtumishi mwema wa chama na raia mzalendowa taifa langu.
Haya...
Kuna wakati, niliwahi kufanya kazi kwenye kampuni ya Barrick, nikiwa senior officer.
Tukataarifiwa kuwa plant imesimama, kuna kikao cha dharula. Kusimama plant kwa mgodi mkubwa siyo jambo dogo...
The trial
Finally,
The judge will take his place
And the accused,
The complainant
And the onlookers:
All will know where to be - and
Justice will be meted out
Even before the trial.
Katika shauri dhidi ya Mbowe, mlalamikaji ni Serikali, na Serikali kiongozi wake mkuu ni Rais. Hivyo mlalamikaji katika kesi hii, ni Rais.
Wakati kesi inasubiriwa kutolewa hukumu, mlalamikaji...
Shauri dogo ndani ya shauri lilopo sasa hivi linatokana na utata kuwa je mshitakiwa wa pili Adamoo alitoa maelezo yake kwa mujibu wa sheria?
Kuna tashwishi kuhusiana na maelezo ya mshitakiwa huyu...
Kama ilivyokuwa kwa Mwalimu Nyerere mapenzi yake yalikuwa kwa nchi siyo CCM.
Ukipenda nchi utakuwa mzalendo kwa dhati yako. Huwezi kutumwa kufanya ujambazi, ubakaji, utekaji, utesaji, wizi...
Watanzania walio wengi wanakumbwa na tatizo la kujisahau. Nareje sehemu ya maelezo ya hukumu dhidi ya Zombe na Wenzake. Jaji alisema mwenendo wa kesi ulijadiliwa mitandaoni kwa ushabiki na ilikuwa...
Ndani ya miaka sita ilyopita, nchi hii tumeshuhudia sheria zilizopo zikipindisha haki kwa kiwango cha kutisha. Raia wakitendewa ndivo sivyo katika nyanja mbalimbali.
Vyombo vya maamuzi zikiwemo...
Hukumu ya leo wazi wazi inaonyesha kuwa wamedhamiria kumfunga Mbowe. Kungelikuwa na afadhali kwenye Court of Appeal, mtu unasema kuwa ngoja nitakata rufani lakini kwa mwendo wa Mahakama za...
Wakandarasi wazawa wa Tanzania wamekuwa mfano mbaya sana kwenye ujenzi wa barabara nchini.
Waziri Mbarawa amelalamikia barabara ya Kidatu - Ifakara inayojengwa kwa lami na wazawa, ni mwaka wa 4...