Orodha ya Wabunge wa CCM watakaoshindwa kurudi 2025

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,802
21,398
Wabunge wengine wameingia bungeni kwa upepo au kwa kushtukiza na kwenye majimbo yao wamelala usingizi wanasubiri kupitishwa tena kurudi Dodoma bila jasho;-

1. Dkt. Kalemani
2. Msukuma
3. Prof. Ndalichako
4. Saashisha Mafue
5. Polepole
6. Priscus Tarimo
7. Dr Bashiru
8. ……………,
9. …………….,
 
Wewe humjui vizuri Msukuma,jamaa anashinda jimbo lolote lile huko usukumani labda la Kishimba tu
 
Ukweli una kawaida ya KUPANDA NGAZI.....taratibu na polepole mno.....

Muda wake ukifika ,UKWELI hauzuiliki.......

SIEMPRE CCM
NCHI KWANZA
 
Wabunge wengine wameingia bungeni kwa upepo au kwa kushtukiza na kwenye majimbo yao wamelala usingizi wanasubiri kupitishwa tena kurudi Dodoma bila jasho;-

1. Dkt. Kalemani
2. Msukuma
3. Prof. Ndalichako
4. Saashisha Mafue
5. Polepole
6. Priscus Tarimo
7. Dr Bashiru
8. ……………,
9. …………….,
Ha ha ha hii list mbona mwaka huu inaanza mapema....hai wabunge wa majimbo ya tumboni Pao wamepewa ofa ...nawashauri wafungue vibanda vya uwakala au supu ya mbuzi mapema maana huenda hawana hata vigenge vya kupata hela baada ubunge kukoma...
 
Back
Top Bottom