Inavyo onekana kwa sasa mikoa inagawanywa kwa nguvu ya ushawishi wa wana siasa wenye vyeo vikubwa serikalini.
Baadhi ya mikoa ambayo imegawanywa kwa nguvu za wanasiasa ni hii.
1. Manyara vs...
Elimu ya Tanzania haichangii chochote kwenye global science and technology kwasababu inahabiribiwa na mwingiliano wa lugha baada ya miaka 7 kuanzia kidato cha kwanza.
Hapo juu ni mada:
Karibuni...
Nipo nyumbani kwenye luninga nafuatilia sherehe za kuzima mwenge huko Chato. Jambo la ajabu ni kuona bendi ya TOT ambayo ni mali ya CCM ikitumika ili hali ni sherehe ya kitaifa.
Kutumia kodi zetu...
Wafuasi wa CHADEMA wilayani Chato wamesema kesho wataungana na watanzania wote katika hitimisho la mbio za mwenge linalofanyika wilayani mwao.
Wafuasi hao wamesema Siasa siyo uadui na kwamba...
RAIS wa Kwanza wa Bunge la Afrika, Balozi Getrude Mongella amesema demokrasia ni ushirikishwaji wa kila mmoja na kwamba huwezi kutofautisha usawa wa binadamu na demokrasia. Amesema “Unapokuwa...
HOJA HII DHIDI YA SHAKA NI UPUUZI
Na Bollen Ngetti
RAIS SSH katika kukwamua uchumi uliodorora kufuatia janga la Covid-19 na matumizi ya hovyo ya Fedha za umma ametafuta na kupata 1.3 Trilioni...
Rais Samia Suluhu Hassan leo ameongoza Watanzania katika kuzima Mwenge wa Uhuru pamoja na maadhimisho ya Kumbukizi ya Miaka 22 ya Kifo cha Mwalimu Julius Nyerere pamoja na Wiki ya Vijana, halfa...
Ikiwa ni Kanda kubwa kwa uchumi na idadi ya watu. Kwa takwimu za juzi katika mikoa kumi inayozalisha Pato kubwa la taifa. Kanda ya Ziwa ndiyo imetoa mikoa mingi zaidi.
Imetoa mikoa mitatu mkoa...
Wizara ya Afya imekanusha tuhuma za upendeleo au rushwa katika Zabuni ya Kampeni ya kuhamasisha Wananchi kupata Chanjo ya COVID-19 iliyotangazwa Septemba 29, 2021
Imesema kazi hiyo ilifanyika kwa...
Kwa mtazamo wangu, kuchoma ofisi za CHADEMA, lengo ni kuwa-prove CHADEMA wapandwe na hasira walipize kisasi wapate sababu ya kuishughulikia CHADEMA.
Nasema hivi kwasababu, ikitokea ofisi za chama...
Watanzania tuna jambo la kujifunza na kuchukua hatua sahihi hivi sasa kutokana na mgogoro wa mpaka wa baharini baina ya Kenya na Somalia. Tusijifanye vipofu hatuoni ukweli uliopo. Muungano wa...
Habari zenu ndugu wana JF, leo usiku niliona maono au niliota ndoto mtu mwenye silaha ya kivita (SMG, AK47) akimnyooshea hayati Magufuli kana kwamba anataka kulipa kisasi na watu wanaoshuhudia...
Zamani kanisa katoliki kama linataka kumfanya mtu kuwa mtakatifu lilikuwa linaajiri mtu fulani wa kuitwa Advocate Dei(wakili wa shetani). Kazi yake ilikuwa ni kuchambua mabaya ya mtu huyo na...
Mapema leo Rais Samia akiwaapisha viongozi mbalimbali ameeleza wazi kuwa hatovumilia viongozi wala RUSHWA. Hata Siku ya Jumapili wakati akizindua mpango wa Serikali wa kuinua uchumi na kukabiliana...
Unaweza kumuita mtu chechote kile; lakini kumuita mtu tu kitu hakimfanyi mtu kuwa kitu kile. Ni kweli kwamba kuna majina mwingine ukimuita mtu unamvunjia heshima, hadhi, na utu wake mbele ya...
Wanabodi,
Mnamo jana, naibu katibu mkuu wa Chama cha demokrasia na maendeleo Bw Benson Kigaila aliongea na vyombo vya habari ambapo aliezea mambo ambayo lazima yatekelezwe ili kama wana CHADEMA...
Hii nafasi naona itamfwaa sana huyu baba maana kila sifa anayo
Kuanzia uwezo wa kuzungumza vizuri lugha ya wazungu,ufahamu mzuri wa sheria za kimataifa,kuielewa dunia,kufahamiana na wakubwa &...
Wakuu toka kifo cha JPM kitokee, moyo wangu umegoma kuamini kuwa nchi imepata rais mwingine. Mpaka sasa naamini rais atapatikana 2025 nifanyeje niamini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.