Ole Sabaya kutinga tena mahakamani Oktoba 18 kwa kesi ya Uhujumu Uchumi

Jerlamarel

JF-Expert Member
Sep 14, 2021
843
2,517
Mfungwa wa kifungo cha miaka 30 kwa unyang’anyi wa kutumia silaha, Lengai Ole Sabaya na wenzake 6, kesho 18/10/2021, watarejea tena Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kusikiliza kesi nyingine ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya kuendesha genge la uhalifu, utakatishaji fedha na uhujumu uchumi.

 
Hilo shtaka la kuendesha genge la uhalifu naona tayari ameshahukumiwa kabla hata kesi haijaanza kusikilizwa, wale wenzake aliohukumiwa nao juzi ndio genge lenyewe na walikuwa wanavamia maeneo ya watu ni ushahidi tu uwekwe sawa, hapo yamebaki mawili, kutakatisha fedha, na uhujumu uchumi.
 
Hilo shtaka la kuendesha genge la uhalifu tayari ameshahukumiwa kabla kesi haijaanza kusikilizwa, wale wenzake aliohukumiwa nao juzi ndio genge lenyewe nI ushahidi tu uwekwe sawa, hapo yamebaki mawili, kutakisha fedha, na uhujumu uchumi.
Hahaha, watu mna roho mbaya sana, hizo 30 zinamtosha, yaani bado mnataka agongwe miaka mingine?
 
manny.png

Aliyataka mwenyewe.
 
Huyu kijana sabaya kwel alikuwa na maadui wengi,mitandao yote watu wanafurahia adhabu aliyopata huyu jmaaaa najiuliza kawafanyia nn lkn,huo sio ubinadamu kabsa
Kweli, amekuwa kitabu cha historia ya uongozi, nahisi umri nao wao teua wawe wanaungalia Sana, ujana unaupumbuvu Sana, lakini mvua 30 nazo dah!!! Nyingi wakate rufaa wampunguzie arudi azae hata mtoto uraiani
 
Back
Top Bottom