CCM tukikubaliana na haya, 2025 tumekwisha na tusahau kabisa kutawala tena

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Mnajua ndugu zangu wanaccm na msiokua wanaccm kuna mambo tusipoyasema ipo siku uhalisia utatuumbua, sioni haja ya kuficha nikiwa kama mtumishi mwema wa chama na raia mzalendowa taifa langu.

Haya mambo tukiyaruhusu 2025 basi ndio mwisho wetu na tusahau tena dola.

1. Serikali ikiruhusu kuundwa kwa katiba mpya tutapoteana

Tunaelewa kabisa ya kwamba Rais amepewa mamlaka makubwa na katiba hii 1977 kuteua wakuu wote wa vyombo vya dola, amepewa mamlaka kikatiba kuteua wakuu wote wa tume ya taifa ya uchaguzi na Wakurugenzi ambao ndio wasimamizi wa chaguzi za majimbo. Mnataka tupate katiba mpya impokonye mamlaka haya tutajua wageni wa nani? Mnataka katiba isiwatambud RCs na DCs kina nani watalinda chama kule mikoani na wilayani?

2. Mama asigombee Urais 2025
Nilisema hili kwa moyo wa dhati kabisa, msiponisikia muda utazungumza. Najaribu kutazama mbele yetu chini ya Mama ni ngumu kidogo pamoja na mabadiliko mengi mazuri na makubwa anayoyafanya. Binafsi nitashauri humu na kwenye vikao vya chama mama aishie 2025.

Kwa Tanzania yetu hii babo tumejawa mfumo dume sana, watu bado hawana imani kiasi flani kwa viongozi Wanamama kupewa mamlaka za juu, pamoja na uchapakazi mzuri wa mama yetu lakini kila nikijaribu kupita mahali mitaani aprecciation ya Mama bado si ya kuridhisha. Mama ushawishi wake wa kisiasa siyo sawa na watangulizi wake.

Ikiwa wenzetu watatuletea mtu aggressive mithili ya JPM au hata afanane naye kidogo basi 2025 tumekwisha. Kama hamtaki kuamini hili hata kwa katiba iliyopo tutakwenda na maji, yatatokea ya Malawi na Zambia.

Minong'ono ni mingi sana ya kupanda kwa gharama za maisha pamoja na kuwekewa Tozo kwenye Miamala ya simu na kodi za majengo ambazo kimsingi ni haki ya mmiliki na siyo mpangaji. Haya yote wananchi hawayaafiki ni kama wanalazimishwa bila kupenda na Chama tupo kimya, tunapita mitaani na tunayaona na kuyasikia.

#Mwananchi wenu mzalendo tokea Ushetu
#Kazi iendelee!
 
Nani kakwambia sisi huwa tunategemea saaana Wananchi?.

Kwa hiyo Halima pale Kawe kakataliwa na Wananchi?.

Nina shaka kama kweli wewe ni Mwenzetu
 
Mnajua ndugu zangu wanaccm na msiokua wanaccm kuna mambo tusipoyasema ipo siku uhalisia utatuumbua, sioni haja ya kuficha nikiwa kama mtumishi mwema wa chama na raia mzalendowa taifa langu.

Haya mambo tukiyaruhusu 2025 basi ndio mwisho wetu na tusahau tena dola.

1.Serikali ikiruhusu kuundwa kwa katiba mpya tutapoteana.
Tunaelewa kabisa ya kwamba Rais amepewa mamlaka makubwa na katiba hii 1977 kuteua wakuu wote wa vyombo vya dola, amepewa mamlaka kikatiba kuteua wakuu wote wa tume ya taifa ya uchaguzi na Wakurugenzi ambao ndio wasimamizi wa chaguzi za majimbo.
Mnataka tupate katiba mpya impokonye mamlaka haya tutajua wageni wa nani?
Mnataka katiba isiwatambud RCs na DCs kina nani watalinda chama kule mikoani na wilayani?

2.Mama asigombee Urais 2025.
Nilisema hili kwa moyo wa dhati kabisa, msiponisikia muda utazungumza. Najaribu kutazama mbele yetu chini ya Mama ni ngumu kidogo pamoja na mabadiliko mengi mazuri na makubwa anayoyafanya. Binafsi nitashauri humu na kwenye vikao vya chama mama aishie 2025.

Kwa Tanzania yetu hii babo tumejawa mfumo dume sana, watu bado hawana imani kiasi flani kwa viongozi Wanamama kupewa mamlaka za juu, pamoja na uchapakazi mzuri wa mama yetu lakini kila nikijaribu kupita mahali mitaani aprecciation ya Mama bado si ya kuridhisha. Mama ushawishi wake wa kisiasa siyo sawa na watangulizi wake.

Ikiwa wenzetu watatuletea mtu aggressive mithili ya JPM au hata afanane naye kidogo basi 2025 tumekwisha. Kama hamtaki kuamini hili hata kwa katiba iliyopo tutakwenda na maji, yatatokea ya Malawi na Zambia.

Minong'ono ni mingi sana ya kupanda kwa gharama za maisha pamoja na kuwekewa Tozo kwenye Miamala ya simu na kodi za majengo ambazo kimsingi ni haki ya mmiliki na siyo mpangaji. Haya yote wananchi hawayaafiki ni kama wanalazimishwa bila kupenda na Chama tupo kimya, tunapita mitaani na tunayaona na kuyasikia.

#Mwananchi wenu mzalendo tokea Ushetu.
#Kazi iendelee!
Hapo number 2...kama mama anafanya mabadiliko makubwa sana, wasiwasi wako ni nini juu yake. Kwa nini haya mabadiliko yasijitangaze, yakamtangaza yeye na CCM yenu?
 
CCM ina backup ya NEC na polisi
8860003675.jpg
 
Hawezi tena kushughulikia

..anaweza kushughulikia, lakini maamuzi ya kiuchumi yaliyoyafanya kati ya 2015 na 2020 yanaifanya kazi hiyo kuwa ngumu zaidi.

..wamepoteza fursa nzuri kwa kutumia fedha vibaya kwa kuwekeza kujenga mji mkuu mpya, na ununuzi wa ndege zinazotutia hasara.

..fedha zilizotumika sio fedha za msaada au mkopo, ni fedha ambazo Watz walizitolea jasho, zilipaswa kuwekezwa ktk sekta zinazowagusa wananchi wengi zaidi.
 
Mnajua ndugu zangu wanaccm na msiokua wanaccm kuna mambo tusipoyasema ipo siku uhalisia utatuumbua, sioni haja ya kuficha nikiwa kama mtumishi mwema wa chama na raia mzalendowa taifa langu.

Haya mambo tukiyaruhusu 2025 basi ndio mwisho wetu na tusahau tena dola.

1. Serikali ikiruhusu kuundwa kwa katiba mpya tutapoteana
Tunaelewa kabisa ya kwamba Rais amepewa mamlaka makubwa na katiba hii 1977 kuteua wakuu wote wa vyombo vya dola, amepewa mamlaka kikatiba kuteua wakuu wote wa tume ya taifa ya uchaguzi na Wakurugenzi ambao ndio wasimamizi wa chaguzi za majimbo. Mnataka tupate katiba mpya impokonye mamlaka haya tutajua wageni wa nani? Mnataka katiba isiwatambud RCs na DCs kina nani watalinda chama kule mikoani na wilayani?

2. Mama asigombee Urais 2025
Nilisema hili kwa moyo wa dhati kabisa, msiponisikia muda utazungumza. Najaribu kutazama mbele yetu chini ya Mama ni ngumu kidogo pamoja na mabadiliko mengi mazuri na makubwa anayoyafanya. Binafsi nitashauri humu na kwenye vikao vya chama mama aishie 2025.

Kwa Tanzania yetu hii babo tumejawa mfumo dume sana, watu bado hawana imani kiasi flani kwa viongozi Wanamama kupewa mamlaka za juu, pamoja na uchapakazi mzuri wa mama yetu lakini kila nikijaribu kupita mahali mitaani aprecciation ya Mama bado si ya kuridhisha. Mama ushawishi wake wa kisiasa siyo sawa na watangulizi wake.

Ikiwa wenzetu watatuletea mtu aggressive mithili ya JPM au hata afanane naye kidogo basi 2025 tumekwisha. Kama hamtaki kuamini hili hata kwa katiba iliyopo tutakwenda na maji, yatatokea ya Malawi na Zambia.

Minong'ono ni mingi sana ya kupanda kwa gharama za maisha pamoja na kuwekewa Tozo kwenye Miamala ya simu na kodi za majengo ambazo kimsingi ni haki ya mmiliki na siyo mpangaji. Haya yote wananchi hawayaafiki ni kama wanalazimishwa bila kupenda na Chama tupo kimya, tunapita mitaani na tunayaona na kuyasikia.

#Mwananchi wenu mzalendo tokea Ushetu
#Kazi iendelee!
Unaongea UTOPOLO.
Nyie ndo maadui wa Katiba mpya mnataka CCM iendelee kuitawala TZ daima dawamu. A BIG NO!!!
 
Kama yote mawili yatafanyika sambamba! Vinginevyo kama Mama atapitishwa na Chama chake atapita tu!
 
Back
Top Bottom