Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Napenda Niwataarifu Redio Uhuru kuwa Leo Usiku saa Naijua Mwenyewe nitakuja Kituo chenu na Mkanda wenye habari yangu. Nataka Muionyeshe habari hiyo, Na sio Ombi nakuja na Vijana Kumi hivi wakiwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hapa ni Wilaya ya Bariadi , ambako Viongozi wa Bavicha wanaendelea kumwaga nondo ili kuwaelewesha wananchi umuhimu wa Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi
8 Reactions
52 Replies
3K Views
Nyerere alikubali kutengeneza system ya kidikteta ambayo tumeirithi, system ambayo haijaandikwa popote kwenye katiba, kwamba ili rais awe na nguvu (power) lazima avae kofia mbili ya chama na ya...
10 Reactions
32 Replies
3K Views
Pamoja na Kwamba CCM imechoka ikachokwa na kuchokekana Lakin wapo baadhi ya vijana na wazee wenye uwezo wa kuongoza japo ni wachache tutajie unao Ona wamebaki mi orodha yangu ni hii 1. Prof Mussa...
8 Reactions
41 Replies
4K Views
Kwanza naomba kusema wazi naunga mkono wazo la upanuzi wa barabara ya Kimara Kibaha. Pili nailaumu sana tena sana Tanroad na wizara ya ujenzi kwa kuchezea kodi za wananchi kwani kila baada ya...
38 Reactions
124 Replies
21K Views
Inavyoonekana upanuzi wa barabara ya Kimara - Kibaha utafanywa kwa kiwango cha barabara 4 na sio barabara 6. Pia ili kupunguza gharama hautakuwa na fly-over kama ulivyotangazwa na mkuu. Kuona...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Mnataka mstake, Zanzibar ni nchi na inshaallah kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu siku itafika itakuwa na Waziri wake wa Kigeni,Waziri wa Mambo ya Ndani na Waziri wa Ulinzi. Mnaosema wabara wakafanye...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
KAZI IENDELEE NDO DIRA YA KUMUENZI HAYATI #JPM, RAIS #SAMIA HATAKI MANENO MANENO SILAHA YAKE NI KALAMU KUMUENZI. Hatumuenzi #JPM kwa kujificha kwenye vichaka vya shule ya uongozi, Baba yetu...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Selaman Jafo amesema marufuku kuzalisha karatasi za plastiki zinazobandikwa kwenye vizibo vya chupa ya maji na mirija ya kunywea...
2 Reactions
40 Replies
5K Views
Baada ya kusikia serikali imetoa bilioni 50 kwa ajili ya manunuzi ya mahindi. Nikaona huu ndio wakati muafaka wa kuuza nikajaza howo zangu tatu mzigo kupeleka kwenye kitengo. Dah nilichokutana...
6 Reactions
58 Replies
6K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wote waliopo huitikia kwa nguvu kazi iendeleee. Nimekaa na kuutafakari huu msemo nimeona kama ni wa kisiasa zaidi. Unakwepa kuwa na...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Uwezo wa watanzania ni kulalamika kwa vitendo, kwa kutumia ushahidi wa video zilizopita. Yaani ilimradi walalamike, waweke hisia zao wazi ndio huwa furaha yao kuu. Tangu JPM alale usingizi wake wa...
12 Reactions
64 Replies
5K Views
Habari za mchana! Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na tuhuma nzito kutoka kwa watumiaji nguli wa Mtandao wa Twitter hapa Tanzania. Japo hajasema ni January nani, lakini tuhuma hizi ni...
14 Reactions
142 Replies
23K Views
Soma Unaweza jifunza Kitu... "Dr. Mpango alienda bungeni kama Waziri wa fedha. Kufumba na kufumbua akawa VP, akaondoka na ving'ora, msafara na ulinzi mkali. Maisha ndivyo yalivyo. Nothing is...
49 Reactions
91 Replies
10K Views
Pan-African leader accused of funds 'misuse' Oct 31, 2009 10:04 PM | By Charles Molele Proceedings at the Pan-African Parliament (PAP) turned nasty this week when an audit report compiled by...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo Ndugu Harbinder na mwenziye Rugemalira wamepandishwa kizimbani. Nina ushahidi wa kutosha wa Harbinder na genge lake kuhusika na uangushwaji wa helikopta ya Deo hasa kwa sababu ya msimamo wake...
8 Reactions
19 Replies
3K Views
Dar es Salaam. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imesisitiza kuwa fedha zilizochukuliwa kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow Sh306 bilioni ni za umma na waliohusika katika sakata hilo...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Maisha yanaenda kasi sana na yamebadilika sana, Leo vijana wanaosoma chuo wanaona aibu kubeba bahasha ya kaki barabarani. Enzi zetu kusoma chuo ilikuwa ni sifa kubwa sana, Haikuwa rahisi kufaulu...
17 Reactions
62 Replies
5K Views
Ikitokea la kutokea Rais Samia akaingia himaya ya BBC kipindi Cha maswali magumu "hard talk", unadhani katika kipengere Cha demokrasia majibu yatakuwaje? Stephen Sucker anavyojua kubana. Mara...
12 Reactions
52 Replies
5K Views
Dar es Salaam. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imeishauri Chadema kuweka picha ya Rais katika ofisi za viongozi wa chama hicho kwa sababu hiyo ni taasisi ya umma. Ushauri huo umetolewa leo...
5 Reactions
65 Replies
6K Views
Back
Top Bottom